Search results

  1. City Of Lies

    Ni hatari sana hadi leo Simba hawajajua tatizo liko wapi mwaka wa 3 huu utopolo wanabeba ubingwa

    Kuna jambo mtu anaandika unabaki unashangaa.
  2. City Of Lies

    Huu uvaaji wa Millard Ayo kwenye msiba wa Gardner umenishangaza sana

    Aisee! Maghayo amerudi kwa shemeji toka ughaibuni kubeba maboksi 😂😂😂
  3. City Of Lies

    Mlinda mlango wa Iran kuadhibiwa kwa kumkumbatia shabiki mwanamke

    Hakuna mahali nimetoa mtazamo wangu katika hii mada zaidi ya kusahihisha taarifa zisizo sahihi.
  4. City Of Lies

    Mlinda mlango wa Iran kuadhibiwa kwa kumkumbatia shabiki mwanamke

    Huyu Luis Rubiales alimbusu mchezaji Jenny Hermoso ndiyo kosa lake na siyo kukumbatia.
  5. City Of Lies

    Kampuni za Mawasiliano na ukiukwaji wa haki za mteja Tanzania

    Huyu waziri kama amepita humu jamvini hili ni jambo la kulifanyia kazi. This is an area of intervention.
  6. City Of Lies

    Mambo matano ya Hayati Rais Magufuli yaliyoshtua Dunia

    Nimecheka kama mazuri, lakini uko logical.
  7. City Of Lies

    Mbunge Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    Huyu ni wa kumpuuza lakini awajibishwe indirectly.
  8. City Of Lies

    Waziri Hamza: Serikali Ijenge Daraja Kuunganisha Dar-Zanzibar

    Mkuu kama kuna uhitaji naunga mkono, lakini kama ni kuacha alama hapana.
  9. City Of Lies

    Nilitembea Baba Mkwe, halafu mtoto wake ndio anataka kunioa nifanyaje?

    Avune alichopanda, akubali tu kuwa ndoa haipo.
  10. City Of Lies

    RC Halima Dedengo: Mwanafunzi ukipata mimba mshitakiwa wa kwanza unakuwa ni wewe

    Anajitoa fahamu tu, anaongea ujinga tu.
Back
Top Bottom