Search results

  1. B

    Uchaguzi 2020 Halima Mdee apelekwa kupekuliwa nyumbani kwake na Jeshi la Polisi baada ya kwenda kuripoti matukio ya kutishiwa amani

    Kwa hisani ya Askofu Gwajima, mtumishi wa Miungu amekengeuka😳😳amrejelea shetani aka lusiferi
  2. B

    Uchaguzi 2020 Kamati ya Maadili ya Uchaguzi yamsimamisha James Mbatia kufanya kampeni kwa siku 7

    Bado haikubaliki kuingilia uhuru vyama katika kufanya kampeni ni dalili dhahiri zamtu kutengenezewa mazingira wezeshi
  3. B

    Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: CUF yasema haitashirikiana na CHADEMA, ACT. Yasema kilichotokea Uchaguzi Mkuu 2015 kiliwafunza

    Huwezi kwenda nyuma kinyume Cha maagizo,Sharrif Kama dawa haijamkolea, anaonyeaha ukongwe wake katika siasa
  4. B

    Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

    Inasikitisha, inakarahisha na inatisha kwa nini AREA D TU, eneo la wastaarabu na lenye ulinzi wa kutosha, Kuna Nini area d
  5. B

    TANZIA Katibu Mkuu wa TABOA, Enea Mrutu afariki dunia baada ya kubanwa na kifua ghafla wilayani Mwanga

    Mpaka tutasema ukweli juu ya Corona, maana uongo na upotoshaji vimekuwa ndio mwongozo wa kitaifa
  6. B

    Dkt. Ndugulile: Kuna uhaba wa vidonge vya Vitamin C, tumieni matunda

    Sawa Kabisa upande huo watu wamesahau
  7. B

    Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    Wengine wanatumia kama cover ya kufanya biashara ya madawa ya kulevya,na kujifanya fedha walizonazo wanazipata ki freemasons kumbe wanauza bwimbwi
  8. B

    Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

    N kweli Andrew hao watu waliuwawa lakini wanaendelea kuwepo? Unaweza kuthibitisha just a bit
  9. B

    Viongozi wa CHADEMA wapelekwa gereza la Isanga

    Kwani utaratibu unasemaje? tujaribu kupima ili tutakapohukumu iwe thabiti, kwani piga ua garagaza CCM ipo hoi, na staili hizo za kale wanazojaribu kutka kuzi apply haztafanikiwa, kwani watanzania wa sasa hawana cha kupoteza, umaskini ndio umaskini kuna wengine hata wanatamani kufa kutokana na...
  10. B

    Viongozi wa CHADEMA wapelekwa gereza la Isanga

    Kwani utaratibu unasemaje? tujaribu kupima ili tutakapohukumu iwe thabiti, kwani piga ua garagaza CCM ipo hoi, na staili hizo za kale wanazojaribu kutka kuzi apply haztafanikiwa, kwani watanzania wa sasa hawana cha kupoteza, umaskini ndio umaskini kuna wengine hata wanatamani kufa kutokana na...
  11. B

    Polisi, wananchi wajeruhiwa kwenye mgogoro wa ardhi Dodoma

    Khaa Mwayego nyie sasa mmezidi dhuluma kama hizo ndizo zinazowafanya wananchi kuwauwa viongozi wao kama vibaka wa kawida mambo kama hayo yanatengeneza kisasi ndani kabisa ya roho ya mwanadamu, sasa swali Huyo tajiri sijui RIDHIWAN huyo? na hao wenyeji nani katangulia, wapeni haki yao ndugu zetu...
  12. B

    Benno Malisa awa jasiri, awageuka CCM na kuwatetea CHADEMA Arusha

    Mnapoanza kuunda kambi mna uhakika gani kama mtashinda katika uchaguzi jumla wa Taifa au ndio mnategemea kuiba kura kuwa mgombea wa ccm kwa kiti hicho sio ndio tiketi ya kuwa rais wa nchi hii tukufu ambayo inaelekea katika utukufu wa kweli kwa kuinstall utamaduni wa kuambiana ukweli an tukiacha...
  13. B

    Nimeikodi helikopta bila kushauriwa wala kuelekezwa na Jussa wala Hamad Rashid - Mtatiro

    Nyaraka hizo sijui za kweli wajameni, kwani kama wameweza kukwara kura ubunge na tume kulazimika kusubiri mchakato wa vikao vya ccm umalizike ili kutoa nafasi kwanza kwa kamati ya siasa ya chama hicho kiamue kikubali au kisikubali. Halafu tena hizo nyaraka sio kama vyeti vya viongozi wengi na...
  14. B

    Kumbe Helicopter ya CUF huko Igunga, imetolewa na CCM!

    Waganga njaa wanaouza utu na heshima yao kwa ndururu, na zawadi za shanga ambazo hazitawasaidia chochote matokeo yake mambo yakiwa magumu unarusha ngumu kuonyesha uaminifu kwa bwana wako mtwana wewe!!!!!
  15. B

    Internet service TTCL - Down since Yesterday afternoon

    Hapana msimopotooshe  ni kweli huduma za TTCL zimekuwa duni, kunakosababishwa na baadhi  ya vigogo kuwa na hisa katika makampuni mengine ya simu na hivyo kufanya hujuma za makusudi dhidi ya TTCL shirika letu, vinginevyo TTCL INGETISHA HATA ZAIDI YA nssf, speed ipo chini broadband yao...
  16. B

    Mlimani City Complex Sold for $ 77 million to Botswana Firm Turnstar

    It is not like SHERATON turnout to be MOVENPICK, kuna kakodi kanatambukwa hapo,
Back
Top Bottom