Search results

  1. Mto

    Currency crises: Are we heading the Russian way?

    A real good opportunity for some of us who know the "knowhow" of colluding with your government to organize grand corruption and fraud. We are planning to meet JK to discuss with him so that his government gives us a share of "stimulus package" from the tax payers money!
  2. Mto

    Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akutana na Rais Kikwete

    1. Eti ameenda kumpa pole rahisi!? Pole anapewa leo baada ya kupona? 2. Ukizingatia hali ya sasa ya taharuki nchini kuhusiana na skendo ya fedha za umma "zilizochotwa" toka katika acount ya escrow iliyokuwa BOT na kupitishwa katika benk ya Stanbic na Mkombozi inayomilikwa na hilo kanisa...
  3. Mto

    Ombi kwa Gen Davis Mwamunyange: Acha kulitia aibu Jeshi letu (JWTZ)

    Wamenunuliwa kubwa ili "wakue nazo".
  4. Mto

    Mkutano wa Mwigulu Nchemba hapa Musoma Mjini, Mji umetikisika

    Nani amewapa hawa WATOTO WADOGO hizi silaha tena za kijeshi na lengo la kuwapa hizi silaha lilikuwa ni lipi hasa? Sheria za nchi yetu na za kimataifa zinasemaje kuhusu matumizi ya silaha za kijeshi hasa kwa watoto? Wanasiasa fanyeni siasa zenu kistaarabu kwa kuzingatia sheria ili kulinda amani...
  5. Mto

    Waking'oka na yeye ang'oke? Kwanini hawaogopi "kujichotoea"

    Hivi Tanzania ina rais?
  6. Mto

    Prof. Muhongo: Sijiuzulu sakata la Escrow vinginevyo ardhi ya Tanzania itatikisika

    They say there are full professors and fool professors! See how this arrogant fool professor is dirtying himself in shit thinking that he is cleaning himself! Telling that he was giving "bribe money" to some guys but somebody was signing on their behalf is just as good as adding another criminal...
  7. Mto

    NECTA hivi mnajua yanayotendeka wilaya ya Bagamoyo?

    Kwa Tanzania yetu ya leo ukiitwa kwenye shughuli ya kiserikali yenye malipo halafu ukaambiwa utalipwa daada ya shughuli basi jandae kwa mawili: 1. Kudhulumiwa 2. Kulipwa kwa kuchelewa saaaana na tena baada ya kutumia muda na grarama kubwa sana kufuatilia.
  8. Mto

    Nani wa kulaumiwa hapa jamani

    Ni wazi kuwa hakuna mawasiliano mazuri baina yao! Kama nia ya kila mmoja kufanya taratibu zake za uhamisho bila kumwambia mwenzie ilikuwa ni kwa lengo la kumsuprise mwenzie basi wanastahili kupongezana maana wote wamefanikiwa na kila mmoja wao na hata mimi nimekuwa suprised!
  9. Mto

    IMF cautions govt over spending, Pinda reacts

    They borrow 40% of the budget, they steal 60% of the government revenue!
  10. Mto

    Napinga madaktari wetu kwenda Liberia

    Ugonjwa wa ebola ni moja ya magonjwa hatari na ni rahisi sana kuenea toka kwa mgonjwa kwenda kwa mtu anayemhudumia. Kwa matintiki hiyo, daktari anayemhudumia mgonjwa wa Ebola anajiweka katika mazingira hatarishi ya yeye mwenyewe kupata maambukizo. Je, serikali imewawekea utaratibu gani wa...
  11. Mto

    Madini ya Sh15.8 bilioni yakamatwa yakitoroshwa

    Hivi ile ndege ndogo ya mizigo toka Kenya iliyoanguka katika mbuga ya Serengeti mwanzoni mwa mwezi wa 9 baada ya kuruka toka Mwanza ilikuwa imebeba nini?
  12. Mto

    Wadau wa mifuko ya hifadhi ya jamii kiama chaja

    Mbunge akimaliza kipindi chake cha ubunge anapewa 100% ya mafao yake kwa mkupuo lakini mfanyakazi wa serikali anayechangia kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii, pamoja na kupunjwa mafao, awe anapewa 25% tu ya mafao yake kwa mkupuo, mengine (asilimia 75) yanabaki kwenye mfuko na anapewa kidogo...
  13. Mto

    Kwa trend hii ya BOT: Uchumi wa Tanzania ulale mahali pema peponi

    Baadhi ya mambo na maamuzi yanayofanywa na viongozi wa kitanzania muda mwingine ukielezwa unaweza dhani unatazama commedy kumbe ni real life story ya nchi fulani huku duniani.
  14. Mto

    Uhamiaji: Mwenye ushahidi wa rushwa ya ajira 200 aulete

    Je, hamna ushahidi? Watumishi wenu waliokiuka utaratibu wa ajira na kuendekeza undugu ("nepotism") kama ilivyothibitishwa na tume ya uchunguzi iliyoundwa na katibu mkuu wameshachukuliwa hatua?
  15. Mto

    Maazimio ya mkutano wa UKAWA na TCD. Je, mbona sijasikia Mh. Rais akipongezwa?

    Rais ndiye alikuwa mpatanishi katika mazungumzo kati ya UKAWA na TCD kuhusiana na mkwamo wa mchakato wa Katiba mpya yaliomalizika juzi na maamuzi yake kutangazwa jana. Cha kushangaza ni kwamba tangu maamuzi hayo yatangazwe, kumekuwepo na mjadala mkubwa sehemu mbalimbali lakini tofauti na awali...
  16. Mto

    Dinosaur Aliyegunduliwa Rukwa, Tanzania Kuwekwa hadharani Marekani

    Mabaki hayo kupatikana Tanzania ni sifa moja kwa nchi yetu lakini kumbukumbu zinaonyesha kuwa huyu sio dinosauria wa kwanza kupatikana Tanzania. Kuna Dinosauria mkubwa sana alipatikana kule Tendaguru mkoani Lindi miaka ya 1906 na hadi leo mabaki yake yapo makumbusho ya Ujerumani, wao wanakula...
  17. Mto

    Kukataliwa Zanzibar kwaitesa CHADEMA,kiongozi wake akiri ni ngumu kupata dola

    Ifweero unajua kuwa Rais wa Tanzania huamuliwa na Watanganyika na si Wazanzibari? Kwa mujibu wa takwimu za sensa ya mwaka 2012 Tanzania bara (=Tanganyika) ina jumla ya watu 43,625,354 wakati Zanzibar ina jumla ya watu 1,303,569. Sina nia ya kuwapuuza wazanzibari kutokana na uchache wao bali ni...
  18. Mto

    Sarafu ya sh 500 haina ubora!

    Lengo la kubadilisha noti ya shilingi 500 kuifanya sarafu ilikuwa ni kutokana na noti hizo kuchakaa mapema kutokana na mzunguko mkubwa. Sasa kama hii sarafu ya 500 ambayo tunategemea pia itakuwa na mzunguko mkubwa imetengenezwa kwa viwango duni kama ulivyoandika basi itachakaa mapema zaidi ya...
Back
Top Bottom