Search results

  1. K

    Je kwa kosa hili NI SAHIHI KWA MKE KUMUITA MUMEWE MJINGA?

    mimi naona ni sahii kwa huyu mwanaume kuitwa mjinga na mke wake maana na yeye alitakiwa amuulize yule mwanamke aliyemwalika umemwambia mke wangu?akimwambia ajamwalika amwambie basi mimi siwezi kwenda peke yangu.Maana kama yule mwanamke angekuwa na nia njema angewaalika wote. huyo mjane lazima...
  2. K

    Wanawake acheni tabia za kuwageuza Wanaume ATM!

    Kweli mkuu naomba umewasilisha hii mada maan hawa wanawake wamezidi kuwa kero yaani tena ukimwiita tu aje mahaali bila hata kujua una sh.ngapi tayari ameshaanza kuagiza mavitu yake mara utasikia anaita jikoni kuna nini mara haya lete kuku na ndizi mbili.Sasa subiri ikifika saa ya kulipa utaona...
  3. K

    Hamna mwanaume mzuri kama mimi!

    mh!!! huyu vip uzuri wa mwanaume uko kenye mshiko bwana,huyu ana biashara zake zingine.
  4. K

    Ni vigumu mwanamke kuwakataa wanaume 10 watakao mtongoza!

    E bwana mimi ninachojua ni kwamba mwanamke kama wa kumegwa nje hata mmoja hawezi kukatalia licha mpaka wafike kumi no wa kukataa hata wakifika 99 wa mia hawezi kukubalika kama kweli anajua nini maana ya ndoa na ana msimamo kweli kwamba mimi nimke wamtu.Hao wanaokubali wa kumi ina maana hat wa...
  5. K

    Nataka kulea mwanaume, awe wangu pekee yangu

    Mi hapa niko ready lakini mpaka nami nijue uhakika kwamba nitakuwa wa kudumu kweli? kama itakuwa hivyo basi nitakufanya uione dunia ni mahali pazuri pa kuishi na kamwe hautajuta kuwa na mimi ila utajiuliza nilikuwa wapi kipindi chote ulichokuwa unateseka na hao matapeli.
  6. K

    Wenye udhaifu huu ni mahodari kwa kuhonga kweli!

    Hii ni kweli mkuu!!!!!!!!!
  7. K

    Mtoto usiye na uhakika nae

    Mkuu hilo wala lisikusumbue hata mimi nilikuwa na tatizo kama hilo la kuwa na wasi wasi na mtoto lakin nikajiuliza mbona wazungu wana adopt watoto ambao siyo wao?jast take it easy endelea kumpa mtoto malezi mtoto akikua akwiita tu baba kuwa baba wa mtoto ni malezi siyo kutia mimba.kuzaa siyo...
  8. K

    Hivi ni kweli mpenzi wangu anavyosema au wizi??

    Kaka hapo nina wasiwasi!!!!
  9. K

    Katoa mimba, dokta aliyemtoa anamtaka kimapenzi. je afanyeje?

    Lakini kumbuka kutoa mimba ni dhambi kubwa sana na ndo maana huyo dokta naye akataka kuiendeleza hiyo dhambi>alikuwa hoi kwa nini?
Back
Top Bottom