Search results

  1. W

    ROHO inanisuta lakini utamu unanivuta

    Ulifanya kosa bila kujijua sasa umejua kwa nimke wa m2 just achana naye. Hata Mungu atakusamehe!
  2. W

    Nimejitosa kwa jimama tatizo lake bahili kupindukia!

    Acha akil za kishetan inamaana kazi yako nikujiuza kwa majimama angalia utakufa maskin fanya kaz ujipatie kipato chako.
  3. W

    Ronaldo: Barca inabebwa

    Katika fikra zenu potofu nakutojua kujua zuri na baya ndio maana mnasema barca inabebwa! unajua watanzania wengi atuendelei kutokana 2nauficha ukwel. Barca is the world classic club hakuna club yeyote inayoipiku nafasi hiyo achen chuki na mjungu yasio faa ongen ukwel wa soka sio majungu!
  4. W

    Mke wangu amezaa nje ya ndoa nimeamua tuachane .nisaidieni juu ya hili.

    Pole sana bro but ktk upande mwingine ww ndie mwenye kosa uchumi ckigezo cha wewe kutorudi kwako! hapo akuna msaada zaid kutokana umeisha fanya uamuz wa kuachana.
  5. W

    Nimemchanganya mama mwenye nyumba na house girl wake!! Part oNE!

    Cthani unamueheshim mume waka kama unavyo sema! Ila alwayz mazoea hujenga tabia nailo nikosa kubwa sana umelifanya ktk dunia hii kutembea na mke wa m2 na nidharau kubwa umeonyesha kwa mumewe upaswa kulipia pole sana kijana hukuona wanawake wote mpaka umenda kwa mke wa m2!
  6. W

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Barca ninoma jaman! hakuna kama barca.
  7. W

    Leo nimetimiza miak 3 ya ndoa

    Hongera sana kaka! Nin siri yamafanikio yenu mpaka sasa mmefika pazur!
  8. W

    Mke ni nani? Rafiki au ndugu?

    Yaan swal lime2lia sana! Mke si rafiki wala ndungu. Ktk kiapo cha ndoa mliapa kuwa mwili mmoja! sasa mke ni sehemu ya mwil wa mume!
  9. W

    Huyu mchumba wangu simuelewi

    Jitahidi kukaa na kumuangalia kwa ukaribu utafahamu 2 anamatatizo gani! Labda nam2 mwingne ndio anamchanganya asiamue kufunga ndoa na ww!
Back
Top Bottom