Search results

  1. C

    Madhara ya kutafuna mchele mbichi/udongo

    Sasa Mkuu kama unaweza kunisaidia kwa kupitia humu humu ndani na wengine wakafaidi matibabu hayo ingependeza zaidi. Nataka kuacha kabisa kutafuna mchele. Please.
  2. C

    Madhara ya kutafuna mchele mbichi/udongo

    Jamani Bujibuji, sijakuelewa una maana gani. Please explain more! Mungu akubariki.
  3. C

    Madhara ya kutafuna mchele mbichi/udongo

    Habari ya Maandalizi ya Sikukuu ya Eid Naomba msaada wenu, maana hapa ndipo mahali sahihi pa kuuliza na kujibiwa majibu yanayostahili na yenye msaada. Mimi ni mwanamke, nina shida moja, ninapenda sana kuloweka mchele kwenye kikombe na kutafuna hata robo kilo kwa siku. Nimejitahidi kuacha...
  4. C

    Madhara ya kutafuna mchele mbichi/udongo

    Habari ya Maandalizi ya Sikukuu ya Eid El Fitr! Naomba msaada wenu, maana hapa ndipo mahali sahihi pa kuuliza na kujibiwa majibu yanayostahili na yenye msaada. Mimi ni mwanamke, nina shida moja, ninapenda sana kuloweka mchele kwenye kikombe na kutafuna hata robo kilo kwa siku. Nimejitahidi...
  5. C

    Kama hii habari haikuengezwa chumvi, Basi wa Tanzania Tutateketea wengi.

    Jamani, kwanza nawasalimuni wote, mimi mgeni (new comer). Kwa hili tatizo la UKIMWI, nashauri tu tuache njia zetu mbaya (matendo maovu) na kumrudia Mungu. Kama upo kwenye ndoa tulia na mwenzi wako huyo huyo, tuache tamaa za kutaka huku na kule, tutakwisha!!!
Back
Top Bottom