Pole sana mkuu, kipindi unachopitia ni kigumu lkn naamini muombe M/Mungu akupe wepesi, weka jitihada ktk utafutaji na mwisho kuwa na Subra.
NI suala la muda/ wakati tu lkn utachomoka💪👊💯
Hongera sana master👏👏💯
Muda wako ukifika ni umefika tu, hata usipoamini ila ndio uhalisia huo. Hongera sana mkuu, Nakutakia kheri na fanaka tele ktk maisha yako ya Utumishi wa umma.
Kumbuka kutoa shukurani kwa kusaidia makundi yenye uhitaji toka ktk jamii yako kama vile watoto yatima...
Hongera sana mkuu❤️💯
Daima wakati wa Mungu ukifika hakuna wa kupinga. Hongera kwa juhudi na uvumilivu wako. Katimize majukumu yako vizuri kwa kuzingatia Sheria, Taratibu na Kanuni za Utumishi wa Umma na pia katende haki.
Furahia habari hii njema pamoja na ndugu na jamaa zako wa karibu kwani...
Hongera sana mpambanaji😁😁❤️
Hii ndio maana halisi ya upambanaji . Hongera sana mwamba. Nakutakia maisha ya furaha katika utimizaji wa majukumu yako.
Katimize majukumu yako kwa kuzingatia Sheria, Taratibu na Kanuni za Utumishi wa Umma na pia nenda katende haki.
Mwsho, kumbuka kutoa shukurani...
Hongera sana mkuu @chidayo👏👏
Nakutakia furaha na mafanikio katika utumishi wako. Katimize majukumu yako kwa kuzingatia Sheria, Taratibu na Kanuni za kazi yako.
Furahia taarifa hii nzuri pamoja na ndugu na jamaa zako wa karibu kwani haikuwa rahisi kufika hapo.
Mwisho, kumbuka kutoa shukurani...
Pole sana mkuu,
Nakusihi usikate tamaa, hakuna jambo rahisi katika utafutaji. Wote walifanikiwa wana story nyuma yao jinsi walivyotaabika, si wote wanaoweka bayana.
Hvyo nakuomba kaza moyo, Mshirikishe M/Mungu mahitaji yako, pambana sana na pia kuwa na subira/ uvumilivu.
Na pia inapotokea mtu...
Hongera sana kaka innojembe 👊👊💯
Wakati wa Mungu ndio wakati sahihi brother, Imani yako kwa M/Mungu, Jitihada pamoja na uvumilivu wako ndio vimezaa hayo matunda uliyopata.
Binafsi nakutakia maisha mema katk Utumishi wa umma na pia katimize majukumu yako kwa kuzingatia Sheria, Taratibu na Kanuni...
Honger sana mkuu👊👊,
Hakika wakati wa Mungu ndio wakati sahihi kabisa, pia kukata tamaa ni mwiko kwa mpambanaji.
Nakutakia maisha mema katika Utumishi wa umma, muhimu kutekeleza mmajukumu yako kwa kuzingatia Sheria, Taratibu na Kanuni husika.
Kumbuka kutoa shukurani kwa taarifa hyo njema...
Hongera sana mkuu Muju4 👏👏💯
Nakutakia kila lenye kheri katika majukumu yako mapya, katende haki na kufanya kazi kwa bidii. Katimize majukumu yako kwa kuzingatia Sheria, Taratibu na Kanuni za Utumishi wa Umma.
Kumbuka kutoa Shukrani kwa kusaidia makundi yenye uhitaji kama vile watoto...
Hongera mkuu Utumishi wako fair
Nakutakia mafanikio katika kazi yako uliyopata, katende haki. Pia zingatia Sheria, Taratibu na Kanuni za Utumishi wa umma pale unapotimiza majukumu yako.
Sherehekea mafanikio haya ukiwa na ndugu na jamaa zako wa karibu kuweka kumbukumbu hii nzuri katika maisha...
Hongera sana mkuu Wansakieki 👏👏
Nakutakia maisha mema katika Utumishi wa Umma, napige kazi kwa kuzingatia Sheria, Taratibu na Kanuni za kazi yako, Pia katende haki.
Furahia ushindi huu pamoja na ndugu na jamaa zako wa karibu kusherekea mafanikio hayo kwan haikuwa rahisi mpaka kufika hapo...
Hongera sana mkuu👊👊
Nakutakia mafanikio katika kazi yako, kafanye kazi kwa kuzingatia Sheria, Taratibu na Kanuni za Utumishi wa Umma na pia katende haki.
Pia, kumbuka kutoa Shukrani kwa mafanikio hayo kwan haikuwa rahisi mpaka kufika hapo.
Hongera sana mkuu Desktop 👊👊
Nakutakia mafanikio tele katika maisha yako ya Utumishi wa Umma. Kazingatie Sheria, Taratibu na Kanuni za kazi yako pale unapotimiza majukumu yako na pia katende haki.
Furahia habari hii nzuri ukiwa na ndugu na jamaa zako wa karibu kwani haikuwa jambo rahisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.