Search results

  1. Mr's goole

    Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

    Nipo kwenye ndoa miaka 2 hadi sasa sijawahi kushika ujauzito. Nimepima vipimo vyote mie na mume wangu hatuna tatizo. Naenda mwezini kama kawaida. Sijawahi kutoa mimba wala kutumia njia yoyote kuzuia mimba. Nimekunywa dawa na kuonana na madaktari bingwa wa magonjwa ya wanawake naambiwa sina...
Back
Top Bottom