Jamani huu ni uwanja wa great thnkers. Msikashifu mapema bila utafiti. Msemakweli kafanya utafiti wa miaka miwili nyie mnadai kakurupuka. Nyie ndo mnakurupuka. Mtuhumiwa hakamatwi badala yake mtuhumu hilo ndo lakujadili na siyo upupu wenu huo.
NIKUPATEJE nakupongeza sana kwa kuwa upo makini na unachimba kwa undani zaidi. Watu wasikubali kuletewa unafiki wa gazeti wakaukubali bila kuwa na hakika. Walete nyaraka inayoonyesha kweli wote wamesaini exept zitto. Wekeni ushahidi. Nawaambien hiyo ni janja ya CCM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.