Search results

  1. kikokotoo kipya

    Kutumbuliwa kwa Mashimba Ndaki kwapeleka kilio Maswa

    Kwani ninyi watu wa Maswa mlikuwa mnafaidikaje na uwaziri wake? Zaidi ya familia yake na watu wake wa karibu. Kwani huko Maswa hakuna mambo magumu na ya kuhuzunisha ya kuwafanya mlie?. Uwaziri siyo ajira.
  2. kikokotoo kipya

    Ushauri: Serikali mrejesheni haraka mwalimu aliyesimamishwa kazi

    Zamani kulikuwa na uhaba wa walimu, tulikuwa tukihitimu kidato Cha sita tunaomba kwa muda kufundisha . Ukiwa mwanafunzi huwezi kujua shida ya ualimu, wengi tuliosoma vyoo, na maficho ya kuvutia Bangi kwa wanafunzi ni vitu vya kawaida sana. Kama hujasoma shule za umma au kufundisha shule za umma...
  3. kikokotoo kipya

    Wito wangu kwa nyie walimu mnaodhani mna wito. Tusije laumiana baadaye

    Kuna watu wanachngia positive juu ya walimu na si walimu, wameoa au kuolewa na walimu,wadogo zao kaka zao ni walimu, kwahiyo kinachoendelea huko wanakijua, kwahiyo usidhani anayetaka walimu wapate heshima ni wadundaji wa watoto wako . Kuna wazazi wanadunda zaidi ya huyo mwalimu, na hakuna kile...
  4. kikokotoo kipya

    Wito wangu kwa nyie walimu mnaodhani mna wito. Tusije laumiana baadaye

    Nadhani Kila anayetaka kung'ara ndani ya jamii na serikali anatakiwa amdhihaki mwalimu, amtishe mwalimu, amnyanyase mwalimu, bahati mbaya wengi wa wanyanyasiji wa walimu ni watu walio wahi kuwa walimu. Wanajua mazingira na ugunu wa kazi ya ualimu. Kwa mfano Ili mwanafunzi afaulu mwalimu...
  5. kikokotoo kipya

    Wito wangu kwa nyie walimu mnaodhani mna wito. Tusije laumiana baadaye

    Kuna jambo serikali inapaswa kufanya, Kuna maagizo mengi yasiyo na tija katika elimu, mkurugenzi wa elimu ana maagizo, afisa elimu mkoa ana maagizo, afisa elimu wilaya ana maagizo. Kuna wilaya walimu wanaambiwa wafundushe Hadi saa kumi na mbili jioni, bila kujali walimu ni mama na baba wa...
  6. kikokotoo kipya

    Wito wangu kwa nyie walimu mnaodhani mna wito. Tusije laumiana baadaye

    Jaribu kumwelewa mwandishi, umewahi sana kumtusi, ametumia fasihi kidogo. Haja walaumu walimu kama unavyodhani, ameilaumu jamii na serikali inayowabeza walimu kwa kutengeneze na kuaandaa raia wema.
  7. kikokotoo kipya

    Tundu Lissu: Kufa kwa Magufuli ni 'Poetic Justice'

    Mleta Uzi amechukia kumsikia Lisu akiwa Hana masikitiko juu ya kifo Cha Magufuli, vipi kama Risasi hizo zote zingekuwa mwlilini mwa mleta Uzi?, Pengine huna hata undugu na Magufuli na umechukia vipi risasa hizo za Lisu zingekuwa kwako ungemlilia huyo Magufuli?
  8. kikokotoo kipya

    Je, wahafidhina ndani ya CCM, wameafiki Kwa shingo upande, maamuzi ya Rais Samia kuruhusu mikutano ya kisiasa, Kwa vyama vyote?

    Ccm mpya ya akina Magufuli, Bashiru, na Polepole, ndiyo waliogopa wahafidhina wamezoea hiyo mikutano Toka kipindi Cha Kikwete.
  9. kikokotoo kipya

    DOKEZO Prof. Shukuru Manya, Naibu Waziri wa Madini yuko wapi na analipwa kwa kazi gani?

    Vema, kama lengo lilikuwa ni Hilo. Tatizo ni namna alivyowasilisha , amewasilisha kwa namna ambayo siyo ya mtu anayetaka kujua jambo. Mleta mada yeye anajua prof yupo tu haendi ofisini, lakini ana kula mshahara mnono. Angeeleza tatizo la tume ya madini baadaya ya kukosekana kwa prof . Sasa huyu...
  10. kikokotoo kipya

    DOKEZO Prof. Shukuru Manya, Naibu Waziri wa Madini yuko wapi na analipwa kwa kazi gani?

    Mimi sawa na upeo mdogo wa covcs, wewe unamjua huyu mleta nada ni nani, na anafanya Nini, au na wewe na wale watu wa makasiriko. Mwenye upeo mkubwa mleta mada hajui hata kama ni mbunge na bunge lipo live , yaani mwenye uelewa mkubwa hajui urai wa kawaida kuwa profesa si kamishina wa madini mpaka...
  11. kikokotoo kipya

    DOKEZO Prof. Shukuru Manya, Naibu Waziri wa Madini yuko wapi na analipwa kwa kazi gani?

    Binti hili ndo tusi ulilopata, kweli wasichana wa miaka ya elfu mbili kuja juu mnataabu sana, ndo maa tunawatumia halafu tunawaacha.
  12. kikokotoo kipya

    DOKEZO Prof. Shukuru Manya, Naibu Waziri wa Madini yuko wapi na analipwa kwa kazi gani?

    Huwezi kupata tusi la kupinga ukweli, wewe umeandika kishabiki kana kwamba unajua na una uhakika profesa analipwa bila kazi yoyote, tena pesa nyingi. Hata ungepata hilo au ukipata tusi Rudi Mimi hakuna tusi jipya sijawahi sikia. Zaidi ya Leo kushangazwa na mtu mzushi na mbea asubuhi.. wewe ukiwa...
  13. kikokotoo kipya

    DOKEZO Prof. Shukuru Manya, Naibu Waziri wa Madini yuko wapi na analipwa kwa kazi gani?

    Hata yeye yupo huko alipo anafanya yake, yeye ni mstaarabu hafuatilii wewe unachokifanya. Kila mtu afanye yake tusipangiane . Wadau wamekujibu yupo bungeni, ukiweza kamchomoe umpe hiyo kazi ya kusaidia watanzania.
  14. kikokotoo kipya

    Bashiru ni mamba mfa njaa kwenye mto, nyumbu wawe makini wasivuke mto huo

    Wapi kwenye andiko hili kadhihakiwa, ninyi kama mlikula mema ya nchi enzi hizo, mjue pia Kuna watu waliumia kipindi hichohicho. Acha Kila mtu aseme aliyopitia kipindi hicho acha watu wasemwe walivyokuwa kipindi hicho, kabla na baada ya utawala Magufuli. Magufuli hakuwa malaika, kama alitenda...
  15. kikokotoo kipya

    Sera mpya ya Elimu, nahisi inatatua matatizo binafsi ya Waziri

    Labda upeo wako ni mdogo sana juu ya mambo ya kimataifa, ujue tu kuwa hata nchi za ulaya zilizo na uchumi imara na utaifa watu wake wengi wanajua hicho Kiingereza. Ukitaka kufanya kazi kwenye mashirika ya kimataifa na hata UMOJA wa mataifa lugha ya kwanza ni kiingereza. Hata Urusi viongozi...
  16. kikokotoo kipya

    Reformation ya Polisi, Suzan Kaganda amekuja wakati sahihi

    Kama upo kwenye akili zangu, hakuna mtu aliye teuliwa nchi hii karibuni akapata sifa na watu kupata matumaini juu yake kama Ndalichako. Akaishia kugombana na kushughulika na shule binafsi. Huyu Afande amepata sifa sana, je ataendelea kuwa yule yule au tutashuhudia akibadilika kama Ndalichako...
  17. kikokotoo kipya

    Sera mpya ya Elimu, nahisi inatatua matatizo binafsi ya Waziri

    Nakujibu NDIYO ni failure kabisa kama wenzake wamepata mia,tisini, themanini, sabini, sitini na yeye akaishia kupata kumi yeye ni kweli amefeli. Mtoto mdogo siyo failure wa maisha lakini kwenye kusoma ni failure. Nimejibu lakini si kama unavyotaka wewe. Nipe umri wa mtoto kuanza kufeli masomo...
  18. kikokotoo kipya

    Sera mpya ya Elimu, nahisi inatatua matatizo binafsi ya Waziri

    Na umekaa hapo unaamini mitahani ikifutwa kwa level hiyo ndo tukuwa kama wafinland (finnish)? Labda ugomvi wako mkubwa ni Nini na mtihani? Elimu yetu Bado ni very theoretical ., Acha chama Cha labour na wa-finnish wafute mitihani wanozo nyenzo na zana za kufanya hivo wana elimu iliyojikita...
  19. kikokotoo kipya

    Sera mpya ya Elimu, nahisi inatatua matatizo binafsi ya Waziri

    Hapo ulipojipambanua kuwa wewe unaelewa zaidi yangu tayari umeingiza ushindani. Nadhani una turudisha kwenye elimu ya mababu kabla ya ukoloni, (informal education)lakini elimu ya Darasani yenye kufuata mitaala na mfumo wa kukaa darasani haiwezi kukosa mtihani hakuna wanapotoa vyeti bila...
Back
Top Bottom