Search results

  1. YNIM

    Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

    Mnapoteza muda kupigizana kelele na huyo kandia, mwisho wa siku ni suala la maamuzi binafsi, anayetaka kumsikiliza Janabi ni shauri lake na asiyetaka aache. Janabi hata kama anakosea katika uwasilishaji wake, bado kwa sehemu kubwa sana anapatia, kwasababu anatoa awareness. Mengine ni makelele...
  2. YNIM

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

    Alijisemea Makongoro Nyerere, “mauzauza hoyeeee….”
  3. YNIM

    Kinara wa demokrasia na haki za binadamu duniani anatumia nguvu kuzuia maandamano ya amani kupinga mauaji Gaza

    Well, kiukweli kabisa, Kichuguu ni mtu na heshima zake na ni msomi mzuri. Tatizo lake katika hili, nadhani ana angalia sana corporate media, yupo corrupted. Nitaishia hapo…..
  4. YNIM

    Kinara wa demokrasia na haki za binadamu duniani anatumia nguvu kuzuia maandamano ya amani kupinga mauaji Gaza

    Eti vitu vidogo dogo, wakati hivyo vitu unavyoita vidogo ndiyo mzizi wa fıtina yote ya haya matatizo. Issue ni upotoshaji, kama unaona hakuna umuhimu wa kuweka context, ni bora kuacha kwasababu hivyo ndivyo upotoshaji unavyoanza….!! Mfano neno, “wakachukiwa zaidi,” mtu lazima ajiulize kwanini...
  5. YNIM

    Kinara wa demokrasia na haki za binadamu duniani anatumia nguvu kuzuia maandamano ya amani kupinga mauaji Gaza

    Wewe ndiyo bendera fuata upepo, ni wavivu tu wanaochukua side uliyopo, kwasababu ni rahisi tu. Kwamba matatizo Palestina yameaanza Oct 7th, Israel has the right to defend itself, wanayahudi wananyanyaswa na blah blah nyingine. Hamna context wala nuances. Kwahiyo wewe unaujua ukweli zaidi ya...
  6. YNIM

    Kinara wa demokrasia na haki za binadamu duniani anatumia nguvu kuzuia maandamano ya amani kupinga mauaji Gaza

    Kiukweli unachosha sana, upo blinded na mahaba. Si Schumer wala Biden wanaopinga serikali ya Israel, ni unafiki mtupu. Angalia press za state department, White House na kadhalika utaona jinsi Marekani ambavyo ipo nyuma ya Israel katika kila hatua. Jana tu au juzi, msaada mkubwa wa fedha umeenda...
  7. YNIM

    Kinara wa demokrasia na haki za binadamu duniani anatumia nguvu kuzuia maandamano ya amani kupinga mauaji Gaza

    Mfano comment kama hii, sijui hata ulikuwa unafikiria nini? Kwanza unakiri kuwa walihamishiwa Palestine (wewe umesema Israel). Kwahiyo kama walihamishiwa pale, wenyeji walitoa ridhaa? Pili hujasema baada ya kuhamishiwa hiyo Israel, ilikuwaje mpaka wakaanza kuchukiwa zaidi (kwa mujibu wako)...
  8. YNIM

    Kinara wa demokrasia na haki za binadamu duniani anatumia nguvu kuzuia maandamano ya amani kupinga mauaji Gaza

    Nimesoma comments zako nyingi hapa, zina upotoshaji mkubwa sana, nadhani ni mahaba binafsi au umeamua kama wanavyosema vijana, kujizima data. Maandamano ya wanafunzi ni dhidi ya serikali ya Israel, dai kubwa pamoja na cease fire ni BDS. Hakuna hata mwanafunzi mmoja anaye protest wayahudi kama...
  9. YNIM

    Kinara wa demokrasia na haki za binadamu duniani anatumia nguvu kuzuia maandamano ya amani kupinga mauaji Gaza

    As I said, it’s all connected and this is how 👇🏿👇🏿👇🏿 https://m.youtube.com/watch?v=RBeFR2jCzCY&pp=ygUjVGhlIGlzcmFlbCB3aG8gaXMgcm9iYmluZyBjb25nbyBEUkM%3D
  10. YNIM

    Kinara wa demokrasia na haki za binadamu duniani anatumia nguvu kuzuia maandamano ya amani kupinga mauaji Gaza

    https://m.youtube.com/watch?v=il_fLVVsKuo&pp=ygUKT3dlbiBKb25lcw%3D%3D
  11. YNIM

    Kinara wa demokrasia na haki za binadamu duniani anatumia nguvu kuzuia maandamano ya amani kupinga mauaji Gaza

    Hahaha kuna sehemu nimesema free Palestina? Nimeweka facts tu kumjibu mtoa hoja husika. Na ukweli ni kwamba, kinacho piganiwa sasa na watu wengi, pamoja na mengine ni hayo yanayo fanıyıka Congo na sehemu nyingine. Haya mambo yapo connected, wanaofanya uhuni Congo ndiyo hao hao wanafanya uhuni...
  12. YNIM

    Kinara wa demokrasia na haki za binadamu duniani anatumia nguvu kuzuia maandamano ya amani kupinga mauaji Gaza

    Hii ya kwako ni bad hasbara 101. Hakuna myahudi yeyote aliyetishiwa maisha, si NYU, Columbia wala chuo chochote. Miongoni mwa waandamaji wanaotaka ceasefire now, wapo wayahudi wengi tu. Kinachofanyika ni intimadation na kuziba watu midomo. Huwezi kuilenga serikali ya Israel au kuikosoa bila...
  13. YNIM

    NBA Playoffs

    Mbona naona watu wapo mute kabisa kutoa credit kwa mabingwa watetezi kwa ile late run ya jana?......Orlando mimacho iliwatoka! Series inaisha next game!! Go Celtics!
  14. YNIM

    NBA Playoffs

    Somo la leo bila shaka limeeleka....sidhani kama utarudia tena, kama ukirudia kutakuwa na re-match!!! Haya endelea na routine yako ya 24/7 ktk JF! Bye....
  15. YNIM

    NBA Playoffs

    Naona unajipendekeza kwa kwenda mbele....leo ni siku ya huyu domo nyenga mshinda JF 24/7...sina time na wewe! Nenda kalale...
  16. YNIM

    NBA Playoffs

    Mimi na wewe nani mwenye anger mgt issues!? Angalia tu usiwe unajisema mwenyewe....
  17. YNIM

    NBA Playoffs

    Atleast umetoa dongo la maana....keep it up! Naona somo linaanza kukuingia vizuri....usirudie tena kunitukana mtu kama mimi!
  18. YNIM

    NBA Playoffs

    Nani akuonee wivu mtu kama wewe bana aaaagh, wivu kwa kushinda JF 24/7, wivu kwa huo umbea wako na majungu? wivu kwa kukaziwa mkeo? wivu kwa kulea mtoto wa Tyrone? wivu kwa hiyo mitusi unayotukana hapa JF? Wivu gani sasa nikuonee wewe.....? au siku hizi neno wivu lina maana nyingine?? Fafanua...
  19. YNIM

    NBA Playoffs

    Naona unalazimisha kuwa sehemu ya hili zoezi, ipo siku yako.........amini!!!
Back
Top Bottom