Search results

  1. I

    Kwa staili hii, CHADEMA itavunja muungano

    Wao wanafikiri wanauchungu sana na utaifa wao kuliko watanzania bara- Utanganyika sisi umekufa wao hawataki uzanzibari ufe. sasa game gani hilo? hii ni confusion. huu muungano lazima utakufa maana kizazi hiki kiko realistic
  2. I

    Kwa staili hii, CHADEMA itavunja muungano

    Muungano unavunjwa na wazanzibari na sio CHADEMA- badala ya kisisitiza nchi moja wanang'ang'ana na Uzanzibari
  3. I

    Ni kutunishiana misuli kwa mihimili au kuna siri ndani yake?

    Ushaidi gani mnaongelea, wakati tunajua kabisa Jairo na Malima na ngaleja walikiwa wanachangisha pesa kama za harusi kutoka department mbalimbali za wizara- barua alituonyesha mhe Shelukindo- na pesa hizo zilikuwa kwa ajiri ya kuhonga wabunge ili bajeti ipite-hii ni kashfa tosha ya kumfukuza...
  4. I

    Mh. Pinda anaposhindwa kujibu maswali mepesi

    pinda kaoja tayari pesa za ufisadi hivyo ni lazima ashindwe kujibu maswali, lazima ajichanganye maana ni laana hiyo!!
  5. I

    Mh. Pinda anaposhindwa kujibu maswali mepesi

    kweli tunapochagua Rais kilaza ndio matokeo yake haya. sasa tufanyeje? tumfukuze kazi :hungry:
  6. I

    JK amemsimamisha Jairo kupisha uchunguzi wa Bunge - PINDA

    Hii inasikitisha sana, unapokuwa na Rais ambaye anakaa kimya tu na kubai time wakati watendaji wake wanavulunda ni hatari sana. Kama kuna matatizo ni hivyo hivyo anakaa kimya tu- mpaka watu walalamike- sasa yeye ni Rais wa nani? au anataka tuingie barabarani. Kikwete uwe siliasi hii ni nchi...
Back
Top Bottom