Search results

  1. L

    Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    Yeeees!! you opened my mind! Am employed but i was thinking of quiting the job due to the salary i am receiving umenfundisha kitu kikubwa sana! big uuuup!
  2. L

    Ushahidi Kagoda waitikisa Serikali

    Mungu anawaona sana tu cz watanzania wanateseka sana kwasababu yao ipo cku tu watakiona cha moto naendelea kupiga goti kwa ajili yao.
  3. L

    Hivi kwa nini hatuna ajira?

    tatizo ni kwamba tumejengwa na dhana kwamba watu weupe ni bora kuliko wazawa na kwasababu hiyo wanapata nafasi kubwa katika ajira mfano katika tenda za ukandarasi wazawa wanasahaulika na kuona kuwa hawawezi kumbe wana uwezo mkubwa tu ila hawajapewa nafasi waonyeshe uwezo wao.
Back
Top Bottom