Search results

  1. W

    Prof Lipumba kuzindua operation MCHAKAMCHAKA Jangwani 9/9/2012

    Mtatiru nae anapoteza muda tu,c avae gwanda tuikomboe hii nchi?
  2. W

    Naingia Jamvini

    Nakuja kama chuchunge! Tafadhari nipokeeni
  3. W

    Nimepata habari usiku huu saa 3 ya kwamba Salum Kabunda "Ninja" hatinaye tena...........

    Nakumbuka wakati yupo yanga ya Abasi Gulamali mwaka 91/92, kocha alikuwa Mziray akisaidiwa Charles Boniface Mkwasa, Huyo beki alikua noma, bora mpira uende mchezaji abaki, alicheza na kina Steven Nemesi,Sanifu Lazaro, Sahau Kambi,Keneth Mkapa,Said Zimbwe,Issa Athumani,Abubakari Salum,Justin...
  4. W

    Serikali na mishahara ya Septemba 2011

    Kila muda naangalia balance kwenye account hamna kitu. Amani kwenye njaa haitadumu muda wote. Kuna kipindi wananchi watashindwa
  5. W

    Cheka na maugo imekuwaje?

    Suala la kuweka mkanda,hapangi cheka, hiyo ni kazi ya mdhamini kuwasiliana na shirikisho husika. Kiukweli!!, cheka hana mpinzani. Nawasilisha
Back
Top Bottom