Nice example of how the rich get richer. For the rich walking without shoes can be trendy while for the poor it is shameful!
According to Bible:
Matthew 25:29
New International Version
29" For whoever has will be given more, and they will have an abundance. Whoever does not have, even what...
The pyramids were under construction during the time of Moses, perhaps that's why they haven't been mentioned in the Old Testament. Watch the The Ten Commandments to see how Moses rescues his mother from being crushed under the massive stone being rolled towards a pyramid. I may be wrong!
Hii ya kuvunja nib za kalamu baada ya hukumu ya kifo ni ujinga tu. Mwenye mamlaka ya kumtoa roho mtu ni Mungu tu, na kama roho ya mtu inathamani sana, basi wasitishe hii adhabu ya kifo.
Asante Kwa kutuletea shairi mujarab!
Alichosema baba ni kweli. Leo hii tu nimesoma kuwa huko Kenya, mti mmoja wa Avacado huzalisha matunda yenye thamani kama $650 kwa mwaka. Avacado zinalindwa usiku na sungusungu!
The reason why no human has climbed Mt Kailash is perhaps because of its religious significance.
Quote from wikipedia:
Mount Kailash is considered to be sacred in four religions: Hinduism, Bon (Tibetan religion), Buddhism, and Jainism.
Tibetan Buddhists call it Kangri Rinpoche; 'Precious Snow...
Tafuta hifadhi pahali ambapo kuna jengo kubwa au ndani ya gari. Kukiwa na jumba ambalo lina kifaa cha kukinga dhidi ya radi, utakuwa salama zaidi.
Usiwe katika maeneo ya wazi, au kwenye mlima ulio wazi.
Iwapo utakosa pahala pa kujikinga mvua, punguza uwezekano wako wa kupigwa kwa kujikunyata...
Some more facts about the number 40:
1. Forty is the only number in English which has its letters in alphabetical order.
2. Minus 40 degrees, or “40 below”, is the only temperature that is the same in both Fahrenheit and Celsius.
3. When the bubonic plague gripped Europe during the Middle...
Hapa nanuku Wikipedia:
Majūs (Arabic: مجوس) or Magūs (Persian: مگوش) was originally a term meaning Zoroastrians (and specifically, Zoroastrian priests). It is also translated as "fire worshipper".
Nikweli mamajusi walikuwa na elimu ya nyota (astrology) na ndio iliwapeleka kwa Yesu
Mkuu, mamajusi ni watu walioabudu moto na wanaofuata dini ya kale ya Zoroastrianism ya Persia (Iran ya kale). Majasusi ni spies au watu wanaokusanya habari ya mambo ya siri (secret agents).
Asante sana mkuu for sharing awesome pictures of nature with us.
Pia natumia nafasi hii kukutakia heri ya mwaka mpya. Iwe yenye baraka tele na mafanikio mengi. Amen
Yamepitwa na wakati hizi makatazo!
Satellites yanakupigia picha pamoja na tarehe ya gazeti inayosomwa kwenye garden ya Ikulu!
Google streetview pia kila sehemu wameshabandika kwenye mtandao!
Ngiri au Hernia ni aina ya ugonjwa ambao unampata mtu baada ya misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikilia au kubeba viungo (organs) fulani mwilini kupoteza uimara wake au kuwa na uwazi (Opening) na hivyo kusababisha viungo hivyo kutoshikiliwa ipasavyo katika sehemu vinapostahili kuwepo...
Sio sahihi, kama ilivyo elezwa hapa juu!
Copyright ni hati miliki na haina husiano na kufananisha vitu. Ni sahihi kutumia carbon copy kufananisha na hapa na nukuu kutoka wiki - "The term "carbon copy" can denote anything that is a near duplicate of an original"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.