Search results

  1. V

    Elections 2015 Edward Lowassa sio lazima yeye tu ndiye awe Rais wetu 2015, Rais wetu wa 2015 ni...

    Haujawahi kuiba wewe, bora kuwe na vibaka kuliko jambazi!
  2. V

    Edward Lowassa atoa ya moyoni, awataka wanaomtuhumu walete ushahidi

    lowassa ni jembe tu, ccm ikitaka kupotea ndio kipindi chenyewe, LOWASSA NDIYE RAISI WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
  3. V

    Edward Lowassa atoa ya moyoni, awataka wanaomtuhumu walete ushahidi

    wewe huna jipya, mfumo gani unamlinda? una uaminifu gani? wewe umekosa cheo ndo maana unahangaika tu!!!!!
  4. V

    Mdee apelekwa Mahakamani chini ya ulinzi mkali

    Halima mdee ni sawa na Primus Saidia, Yeye anatafuta madaraka kwa kuangalia upepo,leo CHADEMA KESHO CCM, NAMSHANGAA KAMA CCM WATAMPITISHA KUGOMBEA NAFAS YA UBUNGE, KWANI HUYU TANGU MIGOMO YA MADAKTARI HE WAS A RING LEADER, I WONDER TODAY HE IS A CCM MEMBER, MUWE MAKINI ,ULIZEN TUNAO MFAHAMU...
  5. V

    Wassira amtaka Sitta "kujiuzuru".

    Nyie mnaangaika na wassira na sitta, ya kwenu yamewashinda mmekosa hoja sas ni umbea tu! na membe nae ni RAIS?:hatari:
  6. V

    ALIKO DANGOTE kuigeuza CCM kuwa kampuni la kibiashara

    yaani wewe umekosa cha kusema, unasubiri wapi mtu adondoke ndo uingie,? Pole utabaki na utaratibu wako wa kuangalia mikono ya watu kama inadondoka kama fisi
  7. V

    ALIKO DANGOTE kuigeuza CCM kuwa kampuni la kibiashara

    Nasikitika sana kama kweli CHADEMA NI WATANZANIA AU LA, KATIKA KAMPENI NA PITAPITA YAO WANAWADHARAU WATANZANIA ETI TUMEZOEA KUPEWA BURE, WAO WAMEFANYA NINI ZAIDI YA KWENDA KWA WALE MASHOGA NA KUOMBA MISAADA? WANAFIKIRI KUWA NA HELKOPTA NDIO KUONEKANA WAPIGANAJI. CHADEMA WENGI WAMEFANYA SIASA...
  8. V

    ALIKO DANGOTE kuigeuza CCM kuwa kampuni la kibiashara

    Ulikuwa unataka nini? machadema yameona hayana means tena ndo maana yamebaki kujamba tu! DANGOTE NA CCM HOYEEEEEEE!
  9. V

    Nape: Jitegemee Trading Company ni mali ya CCM, lakini...

    Chadema ni mchangia pote na wamebaki kukimbizana nch za watu kupiga kelele na kurudi kapa. Kama kenya waliambulia kilio tu.
  10. V

    Kawe: Vurugu zaibuka, Wananchi wavamia kituo cha Polisi! Mabomu yarindima

    Hao ni chadema wako kazini kwani hawana cha kufanya ni kuchochea vurugu mpaka eti waingie IKULU > Haya mkuu, tutaona
  11. V

    Dr Slaa kutikisa Same Jumanne

    DR. wa ukweli maana yake ni nini? anatikias yamekuwa maembe? we unabaki unashadadi tu na huku unapiga miayo!
  12. V

    Arumeru Magharibi kwachafuka...

    YAANI NAWASHANGAA NA WASOMI WANAVYOBURUZWA NA CDM WAKATI ASILIMIA 90 YA CDM NI FORM FOUR LIVER, KWA HIYO UKIKIMBILIA CDM NDIO UMELETA UADILIFU? hata tungewka vyama Mia WATANZANIA NI WALEWALE, CCM WAMEKIMBILIA CDM KWA HIYO SUMU YA UFIASDI IMEISHA? SLAA SI NAE ALIKUWA CCM MPAKA LEO ANANGANGANIA...
  13. V

    Arumeru Magharibi kwachafuka...

    Ninachojua MFA maji haachi kutapatapa, Endeleen Kuji PLEASE!
  14. V

    Baada ya haya, CHADEMA 2015 hakuna kizuizi kuingia ikulu!

    Hawa wa cdm hawana expossure ya magorofa ndio maana wanaraisisha mambo
  15. V

    Baada ya haya, CHADEMA 2015 hakuna kizuizi kuingia ikulu!

    Hawa walishadhan panado ni dawa ya kansa, ndo maana wanafikiri kuingia Ikulu ni kama unaingia banda la kuku kama walivyozoea vibanda vyao!
  16. V

    Shelukindo: Namuunga mkono Lowassa kumrithi Kikwete

    Yaan ameshavuliwa lile gamba kwa hiyo tunafukiza marashi ili lile la richmond lisahaulikekweli shelukindo umebugi, kama ndivyo hata Rostam anafaa kuwa rais!
  17. V

    Ujenzi wa Barabara ya maziwa-External kwa kiwango cha lami waanza @JJMnyika

    Mnyika kazi yake ni kudandia tu, Ndia maana aliwadanganya wasomi eti yeye ana Degree ili apate Ubunge kumbe alishindwa akaishia njiani, SASA ANABAKI ANADANDIA KAZI ZA JEMBE LETU MAKUFULI NA TANROADS,
  18. V

    Ujenzi wa Barabara ya maziwa-External kwa kiwango cha lami waanza @JJMnyika

    Jamani Hawa wabunge wako kwenye maandamano kila siku, Sensa hawaijui, MWenge umekuwa shida kwao, wananch hawafanyi kazi kwani maandamano yamezidi, wananchi wanaishia kuchangishwa kununua mahelkopta ili waendelee kujitafutia umaarufu wao na majina yao, ila pale wanaposikia miradi ya serikali...
  19. V

    Ujenzi wa Barabara ya maziwa-External kwa kiwango cha lami waanza @JJMnyika

    :flypig:Mbona Mnashindwa kuelewa Jamani? Yaani wanaopitisha Bugdet ni wengine tena Bugdet waliokuwa wanaipinga CDM, Wajenzi ni wengine, ILA WALE WASHABIKIAJI NA WAKOSOAJI WA KAZI ZOTE ZA SERIKALI WANAKUJA KUJINADI NAZO NA KUJIPATIA UMAARUFU BAADA YA KUONA KAZI ZINAANZA, Mnyika sasa kwa hili...
Back
Top Bottom