Search results

  1. kitonsa

    Rais Samia anakula maisha arabuni, Bila salamu za rambirambi, wazazi wa Joshua Mollel wakipambana wenyewe

    Sina uhakika ila magaidi wote ni waislamu ila sio waislamu wote magaidi
  2. kitonsa

    Nitailaumu Serikali ya Tanzania juu ya vifo vya vijana wawili waliopoteza maisha vita vya Hamas na Israel

    Huyu mama pia ni hamas HATA KULE MOSHII kaa kimnya anajitahidi balozi wa palestina aende cloud akate pumba SAMIA SULULU NI MDINI
  3. kitonsa

    Madazeni ya wapiganaji wa Brigedia ya Qassam Imejitokeza katikati ya Ghaza kwenye viwanja vya Mashujaa wa vita

    Acha ngono zembe wewe., mzawadie mumeo. Hao watapewa mabikira na allah
  4. kitonsa

    Rapa Sean 'Diddy' Combs anatuhumiwa kwa ubakaji katika kesi mpya

    hao wakina big na pac ni cha mtoto , puff ni zaidi ya uhuni , jamaa ni mafia godfather
  5. kitonsa

    Rapa Sean 'Diddy' Combs anatuhumiwa kwa ubakaji katika kesi mpya

    haya mambo mbona hayamkuti denzel washington, au morgan freeman? kuna ukweli kuusu wazungu kushughulikia blacks, ila weusi wengi maarufu ni watu wa hovyo honyo, inakuwa simple kushughulikiwa na mifumo
  6. kitonsa

    Mahojiano yangu na washirika wa FDLR kuhusu uhasama wao na RPF- Inkotanyi

    huyu afande ndio kikosi chake kiliua wabelgium kumi?
  7. kitonsa

    Mahojiano yangu na washirika wa FDLR kuhusu uhasama wao na RPF- Inkotanyi

    Mkuu acha maneno nenda kwenye lengo
  8. kitonsa

    Msaidizi wa Lissu adaiwa kujeruhiwa na mapanga na watu wasiojulikana

    hapo sijaandika kiswahili fasaha, ndio lengo langu hilo, hivyo elewa kimagumashi
  9. kitonsa

    Bajaji yangu nimeipata lakini imechakaa sana

    Usimsamehe huyo mtoto wake ndio mwizi mwenyewe , walijua utachukulia poa ,familia yao ikaona mama atateseka.. Wakaona bora wakuludishie wafunze adabu hao
  10. kitonsa

    Msaidizi wa Lissu adaiwa kujeruhiwa na mapanga na watu wasiojulikana

    Huyu mama alikuwa anataka kuwarubuni chadema waache kuongea ukweli na maovu yake kwa kisingizio Cha maridhiano, ila kwenye dp world chadema wameweka uzalendo mbele Baada ya kuona chadema hawanunuliki kindezi Kama act , ccm wamerudi kwenye factory settings yao, ya siasa za kimagufuri ,,ndio...
  11. kitonsa

    CHADEMA yalia rafu upatikanaji wa Vibali vya Helikopta kwa ajili ya ziara za Viongozi wake

    Ccm sometime wana akili kwa geographia ya kusini magharibi kwa gari hata wilaya moja umalizi kwa siku. Pili wananchi wengi wa milimani hawajawai kuona chopo , kutua na chopa kungeongeza mwamko kwa wananchi CCM wakaona usiwe tabu wakatia mpira kwapani
  12. kitonsa

    Kungekuwa na sumu ya kujidunga kisha unakufa usingizini wengi tungeshatoweka duniani

    Kuna kipindi nilitaka kujitupa kwenye maji nife mitaa ya seaview, hapo nakaa kwenye apartment kali uko seaview Ukinicheck unaweza kusema jamaa kayapatia, ila nikukupa matatizo yangu unapasuka kichwa hapo hapo kwa kuwaza Ila mungu mkubwa nilishinda mtihani wa kutaka kujitupa kwenye maji .kwenye...
  13. kitonsa

    Nani mkali kati ya Shaggy na Sean Paul

    Shaggy ana ladha zote za club na slow flani za kusikiliza ukiwa umetulia sean ngoma zake nyingi ni club banger.. za kuamsha hamsha. Ila jamaa ni balaa, kuna kipindi nilikuwa namwiga mpaka mavazi Ila nampa shaggy six out of ten.. Kuna ngoma nikisikiliza roho yangu inatapa buruduni ndani kabisa
  14. kitonsa

    Kuelekea Chaguzi Kuu; Mpambano wa Kimkakati UWT VS BAWACHA

    njie ccm achane kupambanisha tembo na sisimizi, hii promo unayoipa uwt iliyojifia na taasisi yoyote ya chama(chadema) chenye uwezo wa kafanya mkutano wa siasa muda wowote , ni kupoteza muda
  15. kitonsa

    Nawapa pigo la nguvu wachawi wote Duniani kupitia fimbo ya mti wa mbaazi

    Mbona kama mti wa mbaazi hauhusiki na chochote katika uchawi, naona ni mapepo na majini tu , yanataka uoneshe kwamba unayatii ili yakufanyie kazi zako Ila mbaazi unausingizia tu, hauna chochote , iyo ni mboga
  16. kitonsa

    Je, ni kweli January Makamba na Maharage Chande waliamuru maji yafunguliwe na kumwagika kwenye bwawa la Mtera?

    We ccm acha kutupigia kelele hapa .makamba makamba. Uyo makamba si kateuliwa na raisi? Anzia hapo juu ndio kuna tatizo
Back
Top Bottom