Search results

  1. String Theorist

    Lowassa Rais UKAWA, Mwenza - Slaa, Lipumba - Waziri Mkuu, Zitto naye ndani

    binafsi sioni kama ni jambo la afya kwa lowassa kuingia cdm. Kwani baada ya hapo nacho cdm kitakuwa na makundi... pia hii ita-invalidate list of shame ya dr.slaa.. na itaonekana ile list ilikuwa ni ya uongo. Pia uamuzi wa kumnyanyua lowassa ndani ya cdm ni shimo la kisiasa kwa...
  2. String Theorist

    Pasaka: Asili, umuhimu wake na tamaduni zetu

    imeandikwa "Mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye Kristo Yesu mwenyewe ndiye jiwe kuu la pembeni. efeso 2:19" kwahiyo kama wewe unayakataa mafundisho ya mitume wa Kristo (ukidhani ni ya wanadamu), basi sio wa Kristo na haujajengwa katika Kristo.
  3. String Theorist

    Pasaka: Asili, umuhimu wake na tamaduni zetu

    SM; Imeandikwa "Kwa maana Kristo, Mwana Kondoo wetu wa Pasaka amekwisha tolewakuwa dhabihu. Kwa hiyo, tusiiadhimishe sikukuu hii, kwa chachu ya zamani, chachu ya nia mbaya na uovu, bali kwa mkate usiotiwa chachu, mkate wa weupe wa moyo na kweli." 1kor.5:7-8 1. pasaka ya waisraeli ilikuwa ni...
  4. String Theorist

    Mungu amenipa mzigo juu ya wana Jamiiforums

    kwanza umeelewa kile nilichokuambia?. nataka nijue kama umeelewa ili tuendelee.. (kwamaana lazima kwanza ukubali kwamba God exists, then ndio tuanze ku-discuss maswali ya kazi za Mungu). swali lako wanatakiwa kujibiwa wale wanaosema "Mungu yupo", lakini sio kwa wale wasemao Mungu hayupo...
  5. String Theorist

    Mungu amenipa mzigo juu ya wana Jamiiforums

    Kiranga.... Nakupa na hii.... kama ukishindwa kuelewa na hii basi.. itabidi na wewe sasa utusibitishie "existence of Mind" na pia utupe utofauti kati ya mind na brain. alaf pia utuoneshe mind... Lasivyo tuseme nawewe pia haupo kabisa kwenye hii dunia. MODIFIED DEVINE THEORY. This theory is...
  6. String Theorist

    Mungu amenipa mzigo juu ya wana Jamiiforums

    pitia hii link = https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/660022-kuokoka-ni-nini.html
  7. String Theorist

    Baada ya kushiriki na kushindwa uchaguzi nina haya ya kusema kwa uongozi mpya BAVICHA

    Safi sana... Hongera sana.... Imenibidi nilogin kwasababu ya bandiko lako hili.... Nimeamini kuwa kumbe wapo vijana wengi wawazao vizuri kama hivi... Hapo kwenye blue nakupa hongera za kipee sana... hiyo sentesi uliyoandika naomba uishike sana na usiiache iende zake moyoni mwako... hakika...
  8. String Theorist

    Re:Mzee wa Upako na Sheikh wa Mkoa Channel Ten(Mada Amani)

    "Mtu ambaye hana Roho wa Mungu hawezi kupokea mambo yatokayo kwa Roho wa Mungu, kwa kuwa ni upuzi kwake, naye hawezi kuyaelewa kwa sababu hayo yanaeleweka tu kwa jinsi ya rohoni" (1korintho.2:14).
  9. String Theorist

    Re:Mzee wa Upako na Sheikh wa Mkoa Channel Ten(Mada Amani)

    Utatuelezeaje kuhusu TRIPLE POINT OF WATER? Sasa; Yesu anajiita "MAJI ya uzima wa milele". Sasa kwenye science kuna kitu kinaitwa "triple point of water". Ni hali ambayo maji huwa barafu, kimiminika na gas kwa pamoja, na kwa mda mmoja. Ice water, liquid water and gas water ni utatu wa maji na...
  10. String Theorist

    Harusi ya kilokole mchango laki wizi mtupu

    Pamoja ya Kwamba Kutoa ni hiari... Unayo hiari ya kutotoa na sio kulalamika... malanyingi walevi halalamika kama sherehe flani haikuwa na Pombe. sasa imeandikwa "Msifungiwe nira pamoja na watu wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa, kwa maana pana uhusiano gani kati ya haki na uovu? Au kuna...
  11. String Theorist

    Sijawahi kufanya mapenzi naombeni mnishauri

    Hii ni hatari sana..... Baada ya Kufanya agano Takatifu la Damu na Yesu Kristo; je sasa unataka umkanyage Yesu na kuvunja agano hilo kwa kufanya AGANO OVU LA DAMU KWA UZINZI?. Je haujui kuwa wokovu hupatika mala moja tu na hakuna tena second chance?. HEBU JIBU HAYA MASWALI? 1. Je unajuwa...
  12. String Theorist

    Rais Kikwete kuahirisha Bunge Maalum la Katiba

    Tangu 30.March 2014 Mungu alshasema tena hata ghairi mpaka toba iwepo...
  13. String Theorist

    Kwanini Idadi Kubwa Ya Walokole Ni Maskini?

    Na huu mtari unaosema "Kwa maana mnajua neema ya Bwana wetu Yesu Kristo, kwamba ingawa alikuwa tajiri, kwa ajili yenu alikubali kuwa maskini, ili kwa umaskini Wake ninyi mpate kuwa matajiri (2korinth.8:9)" KAMA HICHO ULICHOSEMA NI SAHII NA HUU MTARI UNAMAANA GANI?
  14. String Theorist

    Kwanini Idadi Kubwa Ya Walokole Ni Maskini?

    Jibu ni rahisi sana... Je inawezekana kwa mtoto wa mfalme kuwa masikini?. Alie-okoka anakuwa mwana wa Mungu. hivyo Kwenye ulimwengu wa Kiroho yeye ni "prince" na ulimwengu wa Kimwili yeye Ni "mfalme". kwamaana imeandikwa "Kwake Yeye aliyetupenda na ambaye ametuweka huru kutoka katika dhambi...
  15. String Theorist

    Wanaopinga Ushoga, Wanapinga nini Haswa?

    Mungu anasema "Kama mwanaume akikutana kimwili na mwanaume mwenzake kama vile mwanaume afanyavyo na mwanamke, wanaume hao wawili wamefanya lililo chukizo SANA. Lazima wauawe" (walawi 20:13) HAO NI WATU WA SHETANI NA WAMEJAA MAPEPO YA KILA AINA". KUWAACHA WATU KAMA HAO NI KAMA KURUHUSU MAPEPO...
  16. String Theorist

    Daftari la wapiga kura kuboreshwa mwaka huu

    VERY GOOD mpaka sasa nashindwa kuelewa mtaji wa CCM utakua ninini?. Kwa maana idadi ya vijana itazid idadi ya wezee (wezee ambao wengi wao walikua ni wachagua ccm). Mtaji mwingine wa ccm ulikua ni ujinga na fikra mgando za wapiga kura.. Lakini naona elimu ya uraia inazidi kwa kasi ya ajabu...
  17. String Theorist

    CHADEMA,Zitto ,Mbowe na 48 LAWS OF POWER

    broo... i dont think if it is about UTOPIA here. unachojaribu kufanya wewe ni sawa na mtu alijeribu kumpenda mwanamke kwa moyo wote... lakini mwisho wa siku akasalitiwa. baada ya kusalitiwa na huyo mwanamke basi yeye anatoka na conclussion kua "all women are betrayers" hicho ndio unajaribu...
  18. String Theorist

    CHADEMA,Zitto ,Mbowe na 48 LAWS OF POWER

    Mhhh... 1. Kitendo cha wengi kuongea uongo hai-cancel umuhimu wa kuongea ukweli. kitendo cha wengi kuvunja sheria ha-cancel uwepo wa sheria au haiharamishi sheria. 2. vilevile kitendo cha wengi kuishi kwa kumanipulate watu hai-cancel uwezekano wa watu kuishi kwa ku-inspire watu, na wala...
  19. String Theorist

    CHADEMA,Zitto ,Mbowe na 48 LAWS OF POWER

    Kimweri; Ukifuatilia vizuri kuhusu Leadership and a true Leader... utagundua kua kuna watu wa aina mbili... 1. Those Who get followers through manipulations. Yaani expert manipulators (Ambitious). na 2. Those Who get followers through Inspirations. Hawa ndio true leaders (Visionary)...
  20. String Theorist

    CHADEMA,Zitto ,Mbowe na 48 LAWS OF POWER

    Kaka nashindwa kukuelewa kabisa... Hizo sheria zilizowekwa hapo ni "Laws of manipulations". these are the laws that makes people be led by being manipulated. Hizo principles zimewekwa ili mtu asie mwaminifu ("the hypocrite") na kuweza ku-win followers through the power of manipulations. mtu...
Back
Top Bottom