Search results

  1. Mzoamaganda

    Sakata la Ndege iliyokamatwa Canada: Tundu Lissu akamatwa na Polisi kwa kumkashifu Rais. Anyimwa dhamana

    Nafikiri tumechoka na huku kukamatana kamatana kwa ovyo. Hoja ipingwe kwa hoja. Hapo ndio tutajenga demokrasia ya kweli. Wao watawala wanakamatwa na nani pale wanapokosea na kupotosha makusudi?
  2. Mzoamaganda

    Kuhusu kuitisha kura ya maoni

    Mmh, mi nafikiri ni mapema mno!
  3. Mzoamaganda

    Ndugai: Ningeamua ningeamuru Bulaya na Halima wakamatwe huko Moshi waletwe hapa kwa usafiri wowote

    Angefanya hivyo kwa faida ya Nani? Nafikiri tujifunze kukubali kupingwa.
  4. Mzoamaganda

    Lowassa amkwamisha Makongoro Nyerere

    Atateuliwa na Rais
  5. Mzoamaganda

    Prof Kitila: Magufuli usiteue Wahadhiri

    Mmmh labda mkondo wa maslahi haujakufikia. Mbaya kwa mwenzako; kwako ni bahati! Mara nyingi tuyasemayo hatuyatendi!
  6. Mzoamaganda

    Serikali imenidharirisha sana, Mbona Dkt. Kitila yuko huru?

    Ha ha ha ha ha! Kuwa mwangalifu, usije ukapotezwa kabisa. Ha Ha Ha Ha
  7. Mzoamaganda

    Matokeo ya Bunge la Afrika Mashariki: Saba washinda, Mnyaa safi, Wagombea wa CHADEMA waangukia pua

    Kujua Kingereza haina maana kwamba umeelimika! Hivi ni vitu viwili tofauti.
  8. Mzoamaganda

    Hii kauli wadau mmeichukuliaje?

    Iko poa tu. ndio mwenye kila kitu. Hata baadhi ya mawaziri amewapa yeye ubunge. Hata pushup alipiga yeye.
  9. Mzoamaganda

    Taarifa kwa umma: Matumizi mabaya ya madaraka ya Mrisho Gambo, Arusha

    Mtoto wa kiume hupenda kufanana na baba yake. Mtoto wa kike nae hupenda kufanana na mama yake. Tatizo ni nini?
  10. Mzoamaganda

    Wasifu (CV) ya Mrisho Gambo aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha

    Ni kiongozi mzuri, mfuatiliaji na mbunifu. Hata hivyo anatakiwa kupunguza jazba. Ajifunze pia kuwa na akiba ya maneno na kuepuka kutumia nguvu kupita kiasi.
  11. Mzoamaganda

    Kwanini kila kesi Tundu Lissu anashinda?

    Ni kwa sababu kesi hizo huwa hazina ushahidi wa kutosha; na tena zina msukumo wa kisiasa sana. Nafikiri ataendelea kushinda!
  12. Mzoamaganda

    Singida: Tundu Lissu(MB) akamatwa na Jeshi la Polisi, Kusafirishwa kupelekwa Dar haraka!

    Napata shida sana na kesi za kisiasa. Nafikiri Lisu atawashinda tena mahakamani kama ilivyo kawaida yake.
  13. Mzoamaganda

    Rais Magufuli; Hujaeleweka au ni dharau?

    Labda Mkuu ndio hakuelewa!
  14. Mzoamaganda

    Only in CCM:Abiria kupewa Usukani Julai 23

    Wacheni wampe na yeye ajaribu kuongoza!
Back
Top Bottom