Laana anayozungumzia ni ile ya kwenda kuloga/mganga na kutamka maneno ya kuhuharibia maisha yakiambatanishwa na nguvu fulani fulani za kigiza.
eti tu mtu mmeachana kwa tabia zisizo akutamkie tu kuwa utapata laana haiwezi tokea hiyo.
NB; 90% wanawake wengi ni washirikina so wanaweza kukuharibia...
Nilikua nataka uje kwenye pointi yangu! Naona umenasa hiyo ya KULOGA! Hizo laana unazosema ndio hizo za mwanamke kwenda kumloga mwanaume asifanikiwe au aharibikiwe maisha yake.
Hii ni dhambi kubwa! Kwa taarifa yenu hakuna mwanaume anayeweza kuacha damu yake ikipata shida. Wengi huwa wanaamua...
Labda aseme mwanamke kwenda kumloga mwanaume! Maana wanawake kwa ulozi si mchezo.
Kuna sababu nyingi jamaa kuamua kumtema mtu ikiwemo tabia kubadilika za mwanamke. Unakuta mwanamke tabia zinabadilika anaanza kuwasiliana na mabwana wengine na wengine huenda mbali hadi kuzaa nao na unaishia...
100% true! Maana unakua una uhuru kupitiliza so kama ni ME ndo uta loose selfcontrol(starehe) mwisho wa siku majanga..
Ndoa pamoja na mapungufu yake ila inakurekebisha kitabia kwa njia moja au nyingine
Kitu nilichokuja kugundua katika maisha haya Zawadi pekee ambayo tunatakiwa kujivunia ni UHAI na AFYA NJEMA hiyo inatosha kukufanya kuwa mwenye furaha maisha yako yote.
Unaweza ukawa na pesa nyingi sana hizi tunazohangaika kuzitafuta lakini Afya ikipigwa tu huna furaha tena na pesa zako japo...
Ni laki moja mkuu kipimo! Ila fuata taratibu zote.
Hawa wanawake wanapenda kubambikia watoto hakuna kitu kinauma kama hicho! Kubambikiwa na baadae kuja kujua kuwa mtoto si wako.
Bora akuambie ukweli kuwa alitereza hapo ndio utaona mnafanyaje!
Hata wazungu nao hawapendi kubambikiwa. Hio ni...
Chakata mbususu kijana! Imejileta yenyewe, mlivokua mnaambiwaga kuwa mtazikuta na kuziacha sasa pambana..ndo ushaoa hivo.
Na mademu wa hivyo ukicheza karata zako vibaya atakuharibia maisha yako completely...ataenda kukuloga hutaamini maana atataka kulipiza kisasi..wewe nenda nae taratibu..
NB...
Sasa chief ukishakaa na jamii lazima kuna mambo lazima utasikia! Kuna mademu wengine friji zao hazigandishi anasimulia jirani ake wa kike huyo jirani yake ni rafiki yako na huyo rafiki yako ana rafiki yake...anasimulia watu hovyo..habari zako unazikuta mtaa wa saba!Ni kawaida kwa jamii za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.