Search results

  1. Dr Adam Francis

    Hivi ni kweli vijana wanapinga ufisadi?

    Mwezi septemba maka jana Umoja wa wanafunzi wa jumuiya ya Afrika mashariki walikuwa na mkutano mkuu katika chuo cha Nelson Mandela Institute of Science and technology ambapo uchaguzi ulifanyika. viongozi waliochaguliwa waliwadhalilisha kweli viongozi waliokuwa wanamaliza muda wao kwa madai ya...
  2. Dr Adam Francis

    Reginald Mengi: Mangula, wala Rushwa wanajulikana unasubiri nini?

    Swala la kuwataja wala rushwa ni swala la ujasiri, kinyume hakiwezi kuwa ni unafiki!
  3. Dr Adam Francis

    Posho, kwa madaktari ubinafsi ila kwa wabunge suluhisho kwa ugumu wa maisha

    Ikiwa ni siku ya tatu tu tangu mheshimiwa mmoja abaininishe kuwa kile wanacho dai madaktari kina sura ya ubinafsi na kwamlolongo wa hesabu ndefu kuwa hakijazingatia uwezo wa serikali kibajeti leo gazeti la mwananchi limepambwa na habari yenye kichwa RAISI KIKWETE ABARIKI POSHO ZA WABUNGE, ambapo...
  4. Dr Adam Francis

    Hello, Great Thinkers!

    This is a very junior member of the forrum, Loking forward with great hope to becoming cinior in some days to come. I here in therefore extending my sincere welcome to all those who would wish to join my efforts.
  5. Dr Adam Francis

    East african political federation

    Does the delaying in reaching to the East African political federration make sense in light of the benefits of its coming, or simply empty relactance?
Back
Top Bottom