Search results

  1. Bida

    Wabunge ambao hawatorudi bungeni mwaka huu pamoja na wagombea ambao hawatashinda uchaguzi mkuu 2015

    Mwanzoni wakati nasomea taaluma ya psycholojia sikua nafahamu dalili halisi za ugonjwa wa akili. Siku moja nikasikia Felix Mkosamali anasema Watanzania wakiichagua tena CCM tunahitaji kutafuta Consultant wa kupima watu akili. akimaanisha diagnosing people's intellectual capability. Sikuwa...
  2. Bida

    Mh Pinda amwandikia Rais barua ya kujiuzulu

    Haya wapendwa, Waziri akijiuzuru bila kuishi keko au Segerea haina maana, wataingia wataiba, alafu wataambiwa warudishe, watajiuzuru yataishia hapo. Lakini wakiishi miaka kadhaa Segerea wengine watajifunza.
  3. Bida

    Spare parts za Mitsubishi Pajero Junior

    Wewe unayatefuta spare za Pajero Jr, nenda Diamond motors Pugu Road kuelekea airport upande wa kulia. Uliza kitengo cha spareparts na omba kumwona bwana Emmanuel. Atakusaidia kupata spare unayohitaji. Endapo hutaikuta utaambiwa kutoa advance alafu wataiagiza na itakufikia ndani ya siku 14 au...
  4. Bida

    Ripoti hii ilifichwa: Chanzo cha kuporomoka Elimu Tanzania!

    Dr. Slaa anaambiwa kutubu... je toba ya walionunua rada ya magumashi ilisikilizwa na nani? Chenji ya radi iko wapi? Nasikia imenunua vitabu vyenye makosa kimantiki. Ama kweli Fungu la kukosa .... ni la kukosa.
  5. Bida

    Ripoti hii ilifichwa: Chanzo cha kuporomoka Elimu Tanzania!

    Wao wanalinda ajira, kazi hawafanyi. kama wewe unaendelea kuuliza maslahi kwenye ripoti, kalagha bao. Maslahi yao ni kuuza ubuyu na vitenge vya kukopeshana. kama kweli wanafundisha watoto wangekuwa wanafaulu mitihani. Kwa vile wanalinda ajira... wanafika kazini kusaini daftari la mahudhurio...
  6. Bida

    Ripoti hii ilifichwa: Chanzo cha kuporomoka Elimu Tanzania!

    Bomoa daraja, alafu tuone watapitia wapi. Walioshindwa kidata cha IV ndio wanaofundisha watoto wa shule ya Msingi. Kwa maana hiyo mwanafunzi anayefaulu darasa la saba anaongozwa tu kujipeleka sekondari.
  7. Bida

    Ripoti hii ilifichwa: Chanzo cha kuporomoka Elimu Tanzania!

    Sikio la kufa halisikii dawa. CCM hawasikii. Acha waendelee kujiangamiza...
  8. Bida

    Kuna Dalili zozote kuonyesha kuwa Uamsho ni Terrorist Organization?

    Haya wapendwa wasomaji wa Jamii Forum, Mimi siyo mchokozi, ila napenda kutoa maoni juu ya haya yafuatayo: Baada ya kushuhudia makanisa kuchomwa, Dar es Salaam na Zanzibar na kwingineko, na baadaye tunaona mashambulizi kwa Mapadre wa Kanisa katoliki. Wa kwanza alipigwa risasi akanusurika...
  9. Bida

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

    Ongeza maombi, mambo siyo shwali. Vinginevyo waume kwa wake tutaolewa.
  10. Bida

    CHADEMA yapinga tume ya kuchunguza kifo cha Daudi Mwangosi

    Jamaa Nchimbi alipewa Poor Hair Distribution yake mwaka Jana pale Mzumbe Main Campus Morogoro. Napenda nikukumbushe kwamba siku hizi vyuoni kuna uozo mkubwa. Ukiwa na pesa yako unapata Degree ukiwa nyumbani. Assignment inafanyika na anayeifanya ndiye anayeisahisha na kukupatia marks. wewe unapo...
  11. Bida

    CHADEMA yapinga tume ya kuchunguza kifo cha Daudi Mwangosi

    Kukurupuka kwa Nchimbi ni wasifu wake. Na hata hivyo unaweza kugundua kuwa kuwa wasifu huo pia uko kwa viongozi wengine ambao wanajiona Mungu mtu. Mfana yule anayetishia kufuta chama cha siasa; kisa eti ana mamlaka kisheria. Kwa ufupi huu ni baadhi ya wasifu wa viongozi wa serikali ya CCM...
  12. Bida

    CHADEMA yapinga tume ya kuchunguza kifo cha Daudi Mwangosi

    Miaka fulani nikiwa katika Sekondari nilisoma kitabu kimoja cha Riwaya kiitwacho KULI kilichoandikwa na Adam Shafi. Muhusika mkuu katika Kitabu hicho anaitwa Rashidi. Alipambana sana na udhalimu wa wakoloni akiwa anafanya kazi bandarini, kwani Ujira- yaani mshahara ulikuwa mdogo. Alifkisha...
  13. Bida

    Bungeni: Mkulo aangukia pua, hoja yake yakataliwa!

    Daktari akiwa "Night Duty" posho yake haifiki hata laki moja kwa usiku mzima. Leo hii Mbunge analipwa msharahara usiopungua milioni 7, na leo hii anaomba Posho ya inayozidi laki mbili. Posho ya siku moja ni zaidi ya Mshahara wa mtumishi wa serikali wa kima cha chini. HIvi Kazi ya udaktari na...
  14. Bida

    Mnyika fanya kazi yako, la sivyo 2015 utashindwa ubunge

    Njoo kwangu uone mabadiliko kama kwako hayapo. Maana sina uhakika kama kweli ulimchagua Mnyika? Acha kujipendekeza, mlijaribu kuiba kura za mnyika mkashindwa kwani zilikuwa nyingi mno. Badala yake mkaanza kujipendekeza kwamba mlimchagua. Kafie mbele huko kama kwenu hakuna mabadiliko. Hata hivyo...
  15. Bida

    Mnyika fanya kazi yako, la sivyo 2015 utashindwa ubunge

    Haya Wapendwa, Huyu jamaa anayesema kuwa Mh. Mnyima hajafanya kitu chochote nadhani ana lake jambo. Nilidhani watu wanaotoa mawazo ndani ya Jamii forum wana akili timamu kumbe hata nguruwe watu nao wanashiriki kutoa mawazo. Ubungo ni jimbo linalokuwa, miundo mbinu haikuwa mizuri miaka mingi...
  16. Bida

    MSAADA -TRA na LESENI

    <br><br>Kimsing TRA ni chanzo cha kukosekana kwa mapato. Ni rahisi kupata TIN lakini mchakato wa makadirio ya mapato unatisha kiasi kwamba unaanza kujiuliza kama unaanza kulipa fedha nyingi mwaka wa kwanza wakati biashara inafikirika, je miaka ijayo itakuwaje? Nakushauri ufuatilie taratibu za...
  17. Bida

    MSAADA -TRA na LESENI

    Kimsing TRA ni chanzo cha kukosekana kwa mapato. Ni rahisi kupata TIN lakini mchakato wa makadirio ya mapato unatisha kiasi kwamba unaanza kujiuliza kama unaanza kulipa fedha nyingi mwaka wa kwanza wakati biashara inafikirika, je miaka ijayo itakuwaje? Nakushauri ufuatilie taratibu za kupata TIN...
  18. Bida

    Waziri Mkuu wa Kenya apata mshahara maradufu kumzidi rais wa Marekani (Obama)

    Hi guys If you want to become a highly paid man, struggle to become a politician. You are likely to be among the top fifteen who are highly paid in the world. Chao
Back
Top Bottom