Search results

  1. bersalu

    Angalizo hukumu jimbo la segerea.

    Hawa jamaa wanalazimisha vita ili watumie bunduki badala ya majukwaa ya siasa, ebo!
  2. bersalu

    Mukama: Mbio za Urais CCM, sasa ni zamu ya nyanda za Juu Kusini, Kati na Kaskazini

    Viongozi wa CCM wanasumbuliwa na hofu inayoletwa na siri ya matendo yao maovu. Ukifanya tendo lolote ambalo hutaki lijulikane utajitahidi kubadili vigezo na kanuni zote ili siri zako ziendelee kuwa salama. Kwahiyo tatizo ni hofu kubwa ya siri za matendo yao ya kifisadi. Ndiyo maana Mkapa...
  3. bersalu

    Amani ndani ya Kijiji cha kakola yatoweka gafla.

    sasa hali hiyo haileti masikitiko tu bali inatia hasira kali. to hell with ccm, to hell with kiqwete, to hell with gold barricks. ccm siku zako zimehesabiwa na kubainika kuwa zimekwisha na badala yake unaishi na kupumulia muda wa mkopo
  4. bersalu

    Wassira: Nasisitiza Vincent Nyerere sio Ukoo Wa Nyerere

    Tulizoea hekuma za Kambarage, tukaja matusi ya Mkapa sasa tupo kwenye hotuba za kipumbavu kuliko hata zile za Idd. Graph inashuka hivyo. Je, na sisi wana Arumeru tuna correlate na hiyo trend? Kama ccm ikichukuwa hilo jumbo itakuwa proof ya hiyo correlationship -- uwiiiii twafa! Je, watanzania...
  5. bersalu

    Rais Kikwete adanganywa tena

    mwaka jana CCM ingeweza kumpitishia bwana shimbuda kuwa mgombeaji mbadala ya kikwetwe naamini isingefanya haya madudu machafu kabisa kama rijitu hiri kazi kuzurura rikiombaomba na kopo la matonya mkononi. hovyo kabisa
  6. bersalu

    Naongezeka

    ndaga, ndaga mwanafyale
  7. bersalu

    Naongezeka

    Mbona nimeshaongezeka kweli? Bwana 1st born, avatari yako inanitisha ninaweza kulazimika kupungua ili kunusuru maisha yangu.. ha! ha! ha! ha!
  8. bersalu

    PICHA: CHADEMA 'wauteka' mji wa Arusha

    Wewe Koleo ni mvendavazimu, unatumia ribusama kufikiri... Kuna kitu kinakuwasha kusikia utawala wa kishakaji unaostawisha genge la misafidi na milafi kama veve uakaribia ukingoni na hauna dawa ya kujiponya. Utapasuka moyo bure kwavile hiyo unayoona ni mvua za rasharasha, za masika bado.
  9. bersalu

    Naongezeka

    wakola mushaija
  10. bersalu

    Naongezeka

    wandugu naomba kuongezeka rasmi kwenye forum yenu... wasifu wangu; napenda mijadala yenye kutumia akili, ila nachukia sana michango ya wanaotumia ri-bu-sa-ma
Back
Top Bottom