Search results

  1. deadteja

    TANZIA Colin Powell, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa kwanza Mweusi wa Marekani, afariki Dunia kwa COVID-19

    Operation Desert Storm, under General Norman Schwarzkopf in 1991, was not based on faulty info as you have indicated, pal, but it was to remove Saddam or Iraq from Kuwait
  2. deadteja

    Askari wa JWTZ aliyemuua Mkewe na yeye afariki Dunia akipatiwa matibabu

    Inahuzunisha sana hii. Lakini naona kama haikupaswa kuwapo kwenya Jukwaa la Siasa, nafikiri Jukwaa la Huzuni- sijui lipo? ingefaa zaidi!😢😢😢
  3. deadteja

    Mama amuua 'House Girl' kwa kipigo, amfungia chumbani

    Hiyo ipo poa sana hiyo👋
  4. deadteja

    Hukumu ya Viongozi wa CHADEMA: Seneti ya Marekani yadai Tanzania ni vigumu kuwa na Uchaguzi Huru 2020

    kahtaan, a.k.a Malcom X! Kumbe unawajua na kuwakubali Wamarekani kwa miaka mingi eeh? Lakini hauwafahamu, maana hawajawahi kuwa wakoloni hata mara moja, na si Wazungu! Ukiwachukia umeumia... Waulize wajomba zako kina Saddam, Ossama au Ghadaffi.
  5. deadteja

    Deus Kibamba: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na Mkuu wa 2020 unaweza kushirikisha wapiga kura wachache kuliko chaguzi zote

    Milioni 19 siyo wengi? Kuna mwalimu mmoja wa kike Kinondoni alisema kuwa katika kituo chao cha kuandikisha wapiga kura walipelekewa majina 750 ya nyongeza na kuahidiwa 50,000/- kila mmoja wakikamilisha. Mara jamaa wa CHADEMA akaangia ghafla na kuhoji wanafanya nini hao walimu wakati muda wa...
  6. deadteja

    Mshituko: Rais Magufuli, agoma kumsalimia kwa mkono Mkuu wa Mkoa wa Dar ndugu Paul Makonda

    Nyie watoto wa humu hamna adabu kabisa😆😆😆
  7. deadteja

    Askofu Dk.Stephen Munga: Usiliingize Kanisa kwenye Utashi Wako

    Kuna uongozi mzuri na kuna uongozi wa kibabe; nadhani mleta uzi unatambua hilo. Viongozi wanatenda makosa ya waziwazi kabisa na watu wanaona (Makonda a.ka.a Bashite) lakini MBABE anatishia na watu wote kimya,😷 wanaogopa! Tunaogopa na kuogopana kipindi kuliko katika kipindi chochote kile
  8. deadteja

    USAHIHI: Kilichotokea kati ya Juliana Shonza na Wabunge wa Upinzani kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma

    Hii nchi hii, lini na ni kiongozi gani atakayekuja na kuwaunganisha watanzania na kuleta maendeleo ya kweli? Nchi fukara kabisa na watu wake wamejaa isasi tu na kukomoana.
  9. deadteja

    Magufuli,hata wakoloni walifanya lakini bado tuliwafukuza.

    Umemalizia vizuri sana mkuu!
  10. deadteja

    Rais Magufuli kwa hili yuko sawa, ITV jirekebisheni

    Kama ni kujitoa ufahamu, well, endeleeni kujitoa tu. Lakini ukweli ITV inaendelea kupiga hatua kwa kuzidi kujiimarisha kwa watazamaji wake. Wewe na Kolomije wenzako si lazima mtazame ITV, tazameni TBC1 ambayo ipo kwa ajili ya watu wa type yenu!
  11. deadteja

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba: Naagiza aliyemtolea bastola Nape Nnauye, achukuliwe hatua

    Kwenye hili ni lazima watokee watu wa kujitoa mhanga kwa mkulu, ambaye anafikiria kuwa yeye ni Alpha na Omega! Na wa kujitoa mhanga ni watu wa juu na karibu na mkulu, kama wewe Mh. Waziri wa Mambo ya Ndani! Ni lazima kumuonesha kuwa mambo mengine anayoyafanya mnapingana naye moja kwa moja, kwani...
  12. deadteja

    Ripoti ya uvamizi Clouds hadharani: Makonda alitishia kuwaingiza kwenye skendo ya dawa za kulevya

    Kma ushapekua google, basi safi, huwa haidanganyi. Nipe namba yako ya whatsapp ntakutafuta within a few days my! :)
  13. deadteja

    Ripoti ya uvamizi Clouds hadharani: Makonda alitishia kuwaingiza kwenye skendo ya dawa za kulevya

    Kuna jitu limeniambia naweza nikamaliza miezi mitatu njiani! Lengo alke lilikuwa ni nini huyu? Kunikatisha tamaa? Kuna mijitu ina roho mbaya jamani!
  14. deadteja

    Meya Boniphace Jacob amfungukia RC Makonda

    Kwani Mheshimiwa Mbowe kafoji au? Hapa mada ni kufoji vyeti, which is crime. Issue wala si ya u-RC, the issue is, the whole issue is FORGERY here mkuu!
  15. deadteja

    Meya Boniphace Jacob amfungukia RC Makonda

    Inawezekana upo sahihi kabisa mkuu. Lakini na hili la kufoji vyeti je, hana makosa? Be frank, mkuu
  16. deadteja

    Meya Boniphace Jacob amfungukia RC Makonda

    Mi naogopa kuchangia lolote, nina damu ya kunguni! :D:D
  17. deadteja

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Mi muangaliaji tu wa hii movie. Naikodolea macho tu. Napenda sana drama!
Back
Top Bottom