Kiongozi wetu awe macho na wanasiasa wanaojipendekeza eti hatuna haja ya misaada ya mabeberu .Kwani mabeberu wakitushauri tuwe na utawala bora ,tuwe na demokrasia iliyotukuka,tuwe na tume huru ya uchaguzi itakayotuhakikishia impartiality yaani bila upendeleo wa chama kimoja tubadirishe katiba...
Wapinzani wakitaka kutetea mabadiriko ya katiba na kutetea demokrasia iliyodolola kutokana na chama tawala kutaka kushika hatamu zote za uongozi.Inatakiwa wawe na alliance ya kuungana na vyama vingine wawe na common goal ya mabadiriko.Waachane na kujipersonalise wawe na coalition yenye nguvu...
Swala la Lugola bado alijaeleweka au alijawekwa sawa wana CCM kuanza kumuhukumu moja kwa moja.Wangesubili Takukuru ifanye uchunguzi itoe ripoti kilichofanyika source yake ilikuwa namna gani.Viongozi wa CCM Mara wangetoa mifano mizuri ya Mwalimu Nyerere aliyokuwa ikiitoa katika hotuba zake kama...
Huyo Mama Mabula ni mama mwenye bidii ana vision nzuri kuliko hata boss wake,mkatoriki aliyetukuka hawezi kufoji vyeti au kununua kama alipata Doctorate ni ya kweli
MOU is contractual obligations between two parties.Je Mwanasheria mkuu wa serikali alikuwa wapi ?.Kusaini MOU kwa kiasi hicho bila kumuhusisha Mwanasheria wa serikali ,it is questionable
Mbona walimu wanalia kila kona kuhusu masilihai yao amewatetea kwa kiasi gani ?.Volume ya kazi ni kubwa anachoka kuhudumia wanafunzi zaidi ya uwezo wake.Wastaafu hawapati in time mafao yao,kupandishwa madalaja ni shida,Ajira ni taabu .Vitisho kwa walimu ni shida au shughuri za Jaffo yeye ndie...
Watanzania waliowengi hawana uelewa wa sheria za mikataba.Ingefaa mikataba ya aina hiyo kupelekwa bungeni nakuwa debated na wawakirishi wa wananchi.Kwenye bunge wapo wanasheria wengi lakini mtu ambaye hajui chochote kuhusu sheria za mikataba ku comment ni tatizo
Muombe radhi Geracius Byakanwa yeye ni RC wa mkoa wa Mtwara sio DC wa HAI.Aliye DC wa HAI ni Sabaya.Kichana huyo kama alifanya hivyokwa Mwalimu atakuwa amekihuka haki za binadamu ajirekebishe au Mwalimu huyo ampeleke kwenye vyombo vya sheria
50/50 of economic benefits ni kama watanzania kupata ajira,kuimarisha miondombinu sehemu wanakochimba madini hayo,.Serikali itapata Divided ya hisa zake 16% basi Once they get profit. .Regarding Net profit or loss will be determined by operations na expenditures za kampuni serikali inapata au...
Wale wanaohama vyama malengo yao niya masilahi zaidi wasitegemee uchaguzi unaokuja watatoboa kupitia kura za debe wananchi watajali zaidi wagombea watakao watetea sio hao wanaojali zaidi matumbo yao.
Upigaji sio wa kabila fulani wapo wengi ambao wamejificha. Sio sahihi kutumia tribal sentiments kuwaonea wananchi wa kabila fulani waonekane kama kielelezo cha ufisadi Tanzania.
Bado kuna viongozi wa umma wanaopenda kudhalilisha watumishi wa umma na hata wadau wanaotoa huduma mbali mbali serikalini.Wanatumia character assassination hili waonekane mbele ya umma kuwa they deserve integrity of high quality.Wanapenda kuhukumu pale pale hadhalani lakini ukirudi nyuma unakuta...
Wameisha bweteka unategemea kubweteka mara ya mpili.Yule kijana wa Munauye Moses alipowatetea wapiga kura wake wakulima wa korosho wapo wenzake waliomubeza lakini jamani ni wabunge wa aina gani wanaopewa kura wakienda bungeni hawatetei wapiga kura wake wanaishia kuunga mkono ,hawathubutu kuuliza...
Kumbe mwananchi awe na ufahamu wa kuchaguwa vizuri yule atakaye kwenda sehemu za maamuzi kuwa mtetezi wake.Kama wewe ni mkulima,mfanya biashara ujuwe wale unaowachaguwa kama diwani mbunge anawatetea kwa kiasi gani au anakwenda kuunga mkono kwa kila kitu .mia kwa mia.Kama nyie ni watumishi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.