Search results

  1. E

    Sitasikiliza tena RADIO ONE kipindi cha sports saa 1.30 usiku

    Yusuph umekuwa driven na emotions....ukasahau kufuatilia sababu zilizomfanya Kitenge asimtaje Manji. Kwa kuwa umeshajibiwa basi tuliza mzuka,Manji haandikwi na chombo chochote cha IPP Media na itaendelea kuwa hivyo hadi mahakama ielekeze vinginevyo. Lkn hata wasingetangaza matokeo tulikuwa...
  2. E

    Top Richest People in Tanzania

    English pia ni tatizo,eti "drink industry"..badala ya beverage
  3. E

    My confession: Nilimla denda demu wa rafiki yangu

    Kwa jinsi ulivyoandika na kiswahili chako kilivyo kibovu unaonekana mtu wa hovyo hovyo.Uko rough and disorganized!Na utajulikana muda si mrefu,alafu itaku-cost.Una akili ndogo. You are alive because it is illegal to kill.
  4. E

    Raha jipe mwenyewe!!

    Tanil Somaiya is the owner
  5. E

    Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

    Bishop wabo otai?Nka wabanza kujuma embaga?Olamanya si,ichwe ababukoba tugila amakune.Leka kujuma embaga! Emilembe!
  6. E

    Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

    Mjasiriamali shupavu wakola waitu.Wanyijukya aha kibanja...nashemerelwa munoi. noijuka okwo ichwe abashaija tugila ebintu bishatu?1.Omushaija bakazi,omushaija mabanja,omushaija marwa! Ninkushabira ebiro bikulu ebirungi....waitu ompige tunywe orubisi hamoi n'ensenene!
  7. E

    Hatimaye Jerry Muro ashinda kesi yake

    Sasa atulie na aidai ile zawadi yake iliyozuiliwa na MCT baada ya kushinda tuzo ya uandishi bora.Nasikia na TBC One walimsimamisha kazi bila kufuata utaratibu wa kisheria.Atuone wataalam wa sheria za kazi tukamsaidie mara moja. Asimame tena na kufuta vumbi kisha asonge mbele na maisha.Lakini...
  8. E

    Paschal Mayala na ku-declare interest

    Waganga njaa wote waoga wa kuleta mabadiliko hujifanya wana ccm ili wagange njaa zao
  9. E

    Ukweli kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar - 1964

    Nngu007 si ungeandika kiswahili tu?makala imeandikwa kwa kiswahili ktk Raia mwema,hapa jamvini imeletwa kwa lugha hiyo hiyo...ww unakuja kuchangia kwa kiingereza mbofu mbofu..ili iweje?
  10. E

    Alert: Tujihadhari matapeli mlimani city

    Uzembe ulioje.Unastahili kuchapwa viboko.Huwezi kuacha laptop kwa mtu usiyemjua.Huu ni uzembe uliokithiri.Nikueleze kuwa inabidi utulie ukanunue laptop nyingine.Hata utume tigo pesa au mpesa haitakusaidia maana watu wana line zaidi ya moja.Hilo gari wamebandika namba za bajaj na yawezekana sio...
  11. E

    Vodacom acheni Upumbavu!

    Pole sana Shark kwa kukatwa senti zako.Nakushauri uende duka lolote lililo jirani na ww wataitoa hiyo huduma usiyoitaka na maisha yatasonga kama kawa. Nashauri pia uwe na ukomavu wa fikra kuliko kukurupuka na kutukana kampuni nzima.zile promo huwa zinarushwa redioni kwenye tv na mwishoni huwa...
  12. E

    Dr Kigwangalla Amponda Benno, Amtetea Riziwan, Anatafuta Uwaziri?

    If you argue with a fool,people may not notice the difference.HK is suppose to be ignored...a borer due to unethical issues like certs forgery.
  13. E

    Deo Filikunjombe: Mbunge anayefanya makubwa jimboni mwake

    Deo ukimtazama kwa jicho la tatu utagundua sio kiongozi mwenye fitina na itikadi za wana magamba...ana mtazamo na maono tofauti na wana magamba wengi.. Lkn kuna wakati huwa anapitiwa na kuwadhihaki wabunge wenzake wa CDM....akijirekebisha ktk hili atakuwa na nafasi kubwa mbeleni...ktk serikali...
  14. E

    Kwanini watanzania wengi hawapigi kura?

    Great thinkers, Katika uchaguzi mkuu mwaka 2010 idadi kubwa ya wapiga kura waliojiandikisha na wale waliokwenda vituoni siku ya uchaguzi inafikirisha sana.Watu wengi hawakwenda kupiga kura. Tujiulize ni kwanini. 1.Rafu za wasiotaka kushindwa ambao hununua kadi za wapiga kura na kuzitupa...
  15. E

    Mgombea ubunge wa UPDP Igunga

    Great thinkers mmemuona mgombea ubunge Igunga kwa tiketi ya UPDP...jamaa ni kituko..katoa vichekesho kibao..lkn ninachokikumbuka ni pale aliposema vijana wanaota jua kama solar power...akisema atatoa ajira kibao
  16. E

    Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

    Kama huyu Mwingereza ni UVCCM basi ni ishara nyingine kwamba CCM ni wababaishaji na wanaongea sana kuliko kutenda. Crap!!!!
  17. E

    Naishukuru MMU, imenipatia mke........

    Mm natafuta mke pia.Hongereni mliopendana na Mungu awajaalie kila mtakalolifanya leo liifanye kesho iwe ya maana
  18. E

    Obama accused of being gay!

    CCM mnapokea msaada wa suti iweje leo uwashangae CDM wanaopokea msaada wa kuwatumikia watanzania wenye hali duni?Kweli nyani haoni kundule
  19. E

    Hii issue mnaionaje wanajf wenzangu?

    Hama mitaa hiyo great thinker.watu wapo nyumbani kwa wanaburudika na nyie majirani mnasikia?huko ni uswahilini mno na hapafai kukalika. Kama una watoto mitaa hiyo itawaharibu
  20. E

    Ajali ya Meli: SMZ yakataa misaada ya VODACOM

    Kuwasusia vodacom ni kuwaonea. Hata Zitto amenishangaza sana kuizima simu yake kisa eti anawaadhibu vodacom. Badala ya kujiuliza na kutafakari kwnn meli ya mizigo ibebe abiria tena kwa ujazo usiotakiwa tunawalaumu vodacom. Badala ya kumbana mkurugenzi wa bandari zanzibar kwa kuruhusu uozo wote...
Back
Top Bottom