Search results

  1. J

    Wauza mafuta: Wameshinikizwa na CHADEMA?

    cha kuuliza si kama ni chadema wameshinikiza wauza mafute wagome, ni kujiuliza ya kwua kwanini chadema hawajawashinikiza wananchi waandamane dhidi ya wauza mafuta hata ikibidi wachome vituo vyao maana mateso halizi ya mwananchi wa kawaida ni haya tunayoyaona sasa. kama kweli chadema wanatetea...
  2. J

    JWTZ walalamikiwa kunyanyasa wananchi Ngara

    mjinga ni wewe usiejua wenye nguvu ni nani, eulikulia kijijini na kusomeshwa na pesa za bodi na kisha unatuhumu serikali iliyokupa fursa hiyo kwa mikopo hiyo, bad manners!
  3. J

    Kweli uswahilini noumaa wamenikombea ka blackberry kangu usiku!

    nawewe umekuwa kama yule wakili wa arusha msando alieporwa kila kitu na machangu aise! unatutia aibu wana JF! siku ingine ukiibiwa unaminya, wewe ni mtu mzima ati!
  4. J

    JWTZ walalamikiwa kunyanyasa wananchi Ngara

    wanafanya mazoezi, chadema si wamevaa kombati bwana? Mpaka kieleweke. Kazeni buti jw,. Nchi ni yenu
  5. J

    Kamati Kuu CHADEMA yawavua Uanachama Madiwani 5 walioingia muafaka Arusha

    Duh! naiminia JF! taarifa niulizonazo tayari mkuu wa mkoa wa kilimanjaro amesitisha uuzwaji wa nyumba za kiwanda cha kahawa huko moshi, kumbukeni taarifa zilipitia hapa JF kuwa mwenyekiti wa bodi ya kiwanda hicho alikuwa anampango wa kuuza nyumba hizo kifisadi kwa mfanyabiashara mmoja wa...
  6. J

    Kamati Kuu CHADEMA yawavua Uanachama Madiwani 5 walioingia muafaka Arusha

    wala msihofu, madiwani karibuni sana CUF! nyinyi ndiyo mnajua wanachotaka wananchi, si malumbano na maandamano balli maendeleo, leo wenzetu wazanzibari wanatupita.
  7. J

    Wasifu (CV) wa January Makamba

    kwa cv yake fupi january ni mwanadiplomasia kitaaluma. alichukua mikoba ya jairo kama msaidizi wa jk baada ya jk kupata uraisi 2005 akaonelea asindelee na jairo aliekuwa msaidizi wake kwa miaka mingi. aliamua kumpa ukatibu mkuu kama asante ya kumsaidia kwa miakamingi. fununu ni kwamba january...
  8. J

    Lawyer Mwale ashikiliwa na polisi Arusha kwa wizi wa mabilioni serikalini

    mwake mwenyewe ccm wa kutpa unafikiri kuna chochote? huyo ni wakwao hana muda takuwa nje.
  9. J

    New Habari na kutowapa promotion wafanyakazi wao

    wewe unasema ajivue gamba? wenzako majira hawajalipwa mwezi wa 5 sasa haswa wale wa mikoani na tayari wameanza kuwasiliana mikoani wagome kutuma habari kuanzia wiki ijayo. hapa iringa wamekuwa omba omba kwa watoa habari wao, unatarajia mtoa habari aandikwe vibaya? na ndiyo maana magazeti ya nje...
  10. J

    HaKIKA CCM HAKITAKIWA KUWA CHAMA TAWALA TANZANIA

    mtatutoaje wakati mshaanza kuwania nafasi ya kugombea uraisi tena kwa ukabila? wachaga tuuuuu! mzee mtei anamtayarisha mkwe wake juzi wamefanya kikao cha siri bila slaa wala zitto na agenda ni kuwazuia hao wasigombee. tena wakamshirikisha ananilea nkya wa tamwa ambae alimtukana rais kuwa mpenda...
  11. J

    Lawyer Mwale ashikiliwa na polisi Arusha kwa wizi wa mabilioni serikalini

    Huyu jamaa ana mengi yanayomsibu, ndiye mtetezi mkubwa wa majambazi yanayokuja kutumvamia hapa nchini kutokea kenya, ana skendo kubwa huko moshi kuhusu malipo ya halmashauri moja ambapo alikula mamilioni ya shilingi, ila moja kubwa anakula na baadhi ya waandishi wa habari haswa wa huki moshi...
  12. J

    Bunge kuchunguza ufisadi wa Sh. 200 bilioni za Meremeta

    Swala la meremeta ni jeshi na usalama wa taifa, msituletee balaa! hawa jamaa wakiamua kutoka kama wanaotoka na kunadamana tutaipata! waacheni wenye nchi hayo ni ya kwao!
  13. J

    CCM ni adui namba moja wa vyombo vya habari vya kimataifa Tanzania!

    Kwa kweli nadhani hujui maana ya baishara huru wanaruhusiwa kuja lakini hawataki kwa vile watanzania mmezoea kusoma magazeti ya udaku. na pili mapenzi na magezti ya nje ya nini? ona vile mwananchi wanavypotosha habari. kumbuka mwananchi ni la wakenya yaani nationa na taifa leo na magazeti hayo...
  14. J

    HaKIKA CCM HAKITAKIWA KUWA CHAMA TAWALA TANZANIA

    Labda wanajeshi watakapobadilisha kombati zao kutoka rangi ya kijani na kuwa ya maziwa kama za mbowe! sahau hilo, CCM daima!
  15. J

    Naomba ujikaze, najua utalia sana!

    SASA wana JF tunaenda pabaya! mmefikia kuingilia hata jeshi? hii ina maana hata hicho mnachotafuta hamtakipata. muulize Dkt. Slaa alichoambiwa mpaka akaacha kuizungumzia meremeta. jeshi ni jeshi, wale hawavai kumbati kama za mbowe! hawana utani tuzungumzie mengine.
  16. J

    Naomba ujikaze, najua utalia sana!

    CCM! CCM! CCM! hamtaiweza na mtazeeka mkisema hivyo hivyo, aliishindwa mababa zenu sembuse nyinyi? sana sana mtapigwa mabomu, mwishie kupata vilema bila sababu! kisa? kuwatafutia watu ulaji!
  17. J

    Hii ndiyo rekodi ya uchapakazi wa Lowassa

    mlitaka awakopeshe chadema? mengi alipowatolea chadema nje mpa leo wanamsakama kisiri pamoja na kwamba ni mjomba wa mwenyekiti wao mbowe
  18. J

    Hii ndiyo rekodi ya uchapakazi wa Lowassa

    Juhudi za kumzuia asiende ikulu mnazofanya hamtafanikiwa! alietangulia ametamgulia
  19. J

    Godbless Lema na Alex Massawe: Uhusiano kibashara

    Ukweli unauma! Lakini tutausema bila kujali mawazo yenu chachu, poleni sana!
  20. J

    Godbless Lema na Alex Massawe: Uhusiano kibashara

    Kama hutaki kukanyagwa usipande daladala, umesoma ya nini? sisi tunatoa majibu ya maswali yaliyoulizwa, kwani lema kufanywa ki zanzibar inakuhusu nini? hakuna aliemtuma akaibe! Sasa nakupa ukweli zaidi....lema, ndesamburo na mbowe wanajificha kwenye kichaka cha siasa ili wapate hifadhi! lema...
Back
Top Bottom