Search results

  1. A

    Prof. Safari awajibu wanazuoni wa kiislamu kuhusu DC

    Mambo ya Igunga ni ya kisiasa na si ya kidini. Tukumbuke kila Mtanzania ana Dini yake, kabila lake na pengine mkoa wake anaotoka. Kwa hiyo tusianze kupandikiza mbegu za identity za watu ili kupotosha maada. Kwa kuwa mahakama ipo, walau hiyo ndiyo itende haki kwa kufuatilia lile jambo. Tusifike...
  2. A

    2011 ni mwaka wa Mfumuko wa Bei, maisha magumu na Ujambazi juu!

    Serikali itafakari yafuatayo. Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini ilikataliwa bungeni, walienda kujipanga upya. Wakati waziri wa fedha anawasilisha bajeti yake alisema wameondoa ushuru kwenye mafuta ya diesel na Petrol ili kuleta unafuu kwa mtanzania.Ukweli ni kuwa bajeti ni ya mwaka mzima na...
  3. A

    Mabasi kutoka china- zond bus- sales agent wanahitajika

    Napenda kuchukua fursa hii kuwatangazieni kwamba, kampuni mpya ya mabasi, Zonda Bus Group(inayozalisha nchini China), inatangaza bidhaa zake(Zonda Bus products), ni basi za aina zote na hutengenezwa kutokana na mahitaji ya mteja. Yana viti 28 mpaka 66 kwa basi za kawaida na pia kuna...
Back
Top Bottom