Search results

  1. W

    Usalama na mkeo

    Haya mambo ni magumu, kila mtu na namna anavyojisikia kuoa, wapo waliooa wanawake ambao wamewakuta kwenye madanguro makubwa, hawa kuna suala la kuulizana, umekutana na wanaume wangapi? au poda kapakaje, au akifika ndani umhesabie finyango za nyama, si mapenzi motomto kwenda mbele...Mi haya...
  2. W

    Jairo scandal na waraka namba 3

    Tuoneshwe waraka unasema nini tujadili kwa pamoja tuache mawazo ya MTZ huyu ambaye pengine kutokana na mtizamo wake anaona yeye ni suala la wivu, tusikatae mawazo yake, ila ipo siku na yeye atakubaliana na mawazo ya walio wengi katika nchi hii...Jairo bye bye hata nafasi ambayo JK alikuwa mpe ya...
  3. W

    'Nimeshikwa, nashindwa kujinasua, hebu nisaidieni'

    Unaweza usiniamini haya niyaelezayo hapa, lakini ni ukweli mtupu na sasa sijui namna ambavyo ninaweza kutoka katika uhusiano huu maana sitaki kumkosesha raha mke wangu, ni kwamba mwaka 2007 niliingia kwenye mahusiano na binti mmoja aliyekuwa katika chuo kimoja mjini Morogoro wakati huo akiwa...
Back
Top Bottom