Kaka hapa inabidi ujiangalie tena unapozunguzia mila, tamaduni na desturi zetu kama taifa, ebu fika pale buguruni usiku uone wasichana wanavyojiuza kwa kupewa buku mbili, nenda bills au breakpoint uone siku hiyo ya jumamosi kama kuna watu walifunga biashara kwa sababu taifa lilipata msiba...
hakuna jinis ya kukutofautisha kama zitto au zitto politician, hii inamaana ukiwa kama mwanasiasa huwakilisha hoja za uongo mahali unapokuwepo ndo maana unataka jamii ikutofautishe.
Zitto Kabwe kumbe huko cynical kiasi kaka mkubwa, jaribu kufikiri kuhusu mikataba na gharama zilizotumika siku hiyo, tunataka tuone uzembe uliofanyika huko zanzibar unachukuliwa hatua, hebu kumbuka ishu ya uwanja wa taifa na meneja mpaka leo kuna nini? mikataba mibovu ya umeme, trl, hizo...
Inasikitisha kuona mtu ambaye vijana wengi wanamuamii akianzisha mjadala huu kuhusu vodacom na tukio la ajali la zanzibar na kutaka watu waione vodacom kuwa hawana uchungu na wazanzibar, hivi kampuni hii sio ndio miongoni mwa za mwanzo kabisa kutoa sapoti huko zenj, zitto achana siasa za kitoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.