Search results

  1. SYENDEKE

    Natafuta dereva wa truck mwenye class E ya leseni

    kwa hiyo hapa siwezi kupata dereva unashauri nitumie njia gani mkuu
  2. SYENDEKE

    Natafuta dereva wa truck mwenye class E ya leseni

    Natafuta Dereva wa kufanya kazi mkoani mwenye leseni Class E na uzoefu wa kuendesha Howo SinoTruck. Umri usizidi miaka 35 years. Tuma maombi yako hasaf203@gmail.com
  3. SYENDEKE

    AJIRA YA FUNDI SANIFU

    Kampuni ya Ukandarasi wa Barabara na Majengo ya HASAF COMPANY LIMITED iliyopo Makete Mjini, mkoa wa Njombe. Inatangaza nafasi ya Fundi sanifu wa barabara (1) SIFA ZA MUOMBAJI i. Awe ni Mtanzania mwenye umri usiozidi miaka 50. ii. Awe amehitimu kidato cha IV au cha VI. iii. Awe amepitia na...
  4. SYENDEKE

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nataka nitupie NBA moja nilale ya uhakika za huko vipi
  5. SYENDEKE

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hawa Miami Leo walichonifanya
  6. SYENDEKE

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hamna kikapu nidese kidogo
  7. SYENDEKE

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamani mikeka ya NBA over night nataka kutupiaa ndo nilale
  8. SYENDEKE

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Inavyokuwa over 3 na over 3.5 tofauti yake nn
  9. SYENDEKE

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hivi inavyokuwa over na under kwenye soccer zinamaanisha nn kwenye betting
  10. SYENDEKE

    Jifunze kubet kwenye Basketball, ni afadhali sanaa kuliko Football

    Link yako inagoma mzee kujoin
  11. SYENDEKE

    Natafuta Mashine za Dry cleaner

    Habari wandugu Nataka kufungua dry cleaner Mwenye uzoefu wa hizi mambo naomba anipe hata hints kidogo natakiwa mashine ngapi naweza kuzipata wapi na ghalama zipe.. Nataka kufungua maeneo yenye baridi Kali na Vumbi kwa hiyo Vitu vizito vizito ndo mashine nazitaka zenye kumudu hivyo Sent using...
  12. SYENDEKE

    Natafuta civil technician (urgent)

    nilikuwa natafuta mtu wa technicianl mkuu eng. ninaye nataka mtu wa site
  13. SYENDEKE

    Natafuta civil technician (urgent)

    Natafuta civil technician mwenye ordinary diploma ya civil engineering mwenye uzoefu wa kazi za ujenzi mbalimbali, mshahara ni makubaliano. Tuma details zako kwa email wskb_87@yahoo.com
  14. SYENDEKE

    Upweke unaniumiza!

    nimeshindwa kutimiza vigezo coz bado wiki 1 kama utanisubiri
  15. SYENDEKE

    Sugu, Msigwa kufanya mkutano mkubwa Mbeya

    Naomba umuulize sugu swali hili " kuna ufisadi mkubwa ujenzi wa soko mwanjelwa soko limejengwa chini ya kiwango na soko ilitakiwa kukamilika toka may na mkandalasi aliye pewa tenda amepewa kwa njia za panya hadi sasa amekimbia bila kumalizia na jiji hawawezi kusema kitu coz kuna mkono wa wakubwa...
  16. SYENDEKE

    Msaada wa mawazo

    uzi wako una maelezo mafupi mno wala hujaeleweka vizuri funguka zaidi ili watu wakushauri unataka nini haswa
  17. SYENDEKE

    Natafuta kazi ya data clerk

    be serious mnavyo weka uzi hapa sio unakulupuka as if kama unaoga nje nenda kajipange weka thread yakueleweka bwana
  18. SYENDEKE

    Flirting Partner wanted

    kazi ipo
Back
Top Bottom