Wadau naomba tuliangalie hili pia, linalohusu hujuma na matatzo katika jamii yetu ya kiTZ iliyopoteza dira.
Wadau inasikitisha kuona kuwa kila sehemu sasa kuna matatizo hapa nchini, hakuna utu, hakuna kuthamini kazi tena hasa Serikalini na kwenye Idara na Taasisi zake, kote kumejaa porojo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.