jamani mtaturusha tulikotoka... hivi kweli kwa mavituz kam size hii, nani atakua trustful to his wife. alafu uniambie anaendaga church . je utaomba maombi gani? .....ukiwa umesimama nyuma yake....
inatia kichefuchefu lkini ahsante kwa kuonyesha upendo wa kweli kwa mpendwa wako... nahisi ilikuwa model show ya wahusika wenyewe. hii kali sijawai ona....!
<br />
<br />
ndio mkono umepatikana... what next? mi naona hawakumtendea haki maskini mamba, kmk ndio maisha yake... wanyama wote sawa. kwa style hii kila kiumbe kipasuliwe. mi wa kwanza kurudisha mbafu za mbuzi
Udhalilishaji ni dada zako au uliwatuma wewe????? tumechoka na mnao tetea uovu eti haki.....!? kawatetee masikini wanaoteswa na sela mbov ya ccm.mafuta taa elf mbli na wasikate miti. Acha unafiki.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.