Polisi wa wilaya ya Kisarawe wamefika eneo la tukio mara tatu, na kila wakienda wanasema wanafanya uchunguzi kwa kuwahoji wafugaji bila kushirikiana na mtendaji au mwenyekiti wa kijiji, hawa wafugaji huwa wanatembea na kiwango kikubwa cha pesa za kuhonga, polisi wakirudi ofisini kwa mtendaji...
TAARIFA KWA UMMA
KUKOSEKANA HUDUMAYA MAJI KWA SIKU MBILI JIJINI DAR
Dawasco inawatangazia wakazi wote wa jiji la Dar es salaam na Mji wa Bagamoyo kuwa mtambo
wa kuzalisha Maji wa Ruvu Chini utazimwa kwa wastani wa saa 48 kwa siku za Ijumaa na Jumamosi
ya tarehe 23 na 24...
Kumbuka walivyopata idadi ya watu wa Zanzibar wakati wanaipitisha hiyo katiba yao ya chama tawala. Ndugu hakuna uwezekano wa kuiondoa ccm kwa kutumbukiza kura yako ndani ya sanduku la kura.
Chanika ameacha kijiji kinachojulikana kama Marekani, majumba aliyojenga chanika ni mengi sana na mazuri, pia anayo baa kubwa sana kwa sasa imefungwa, anayo yadi iliyojaza mafuso yake mengine ni mpya kabisa yote yamefungiwa.
Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es salaam (DAWASA)
VIS
Shirika la majisafi na majitaka Dar es salaam DAWASCO
(DSM imeundiwa mamlaka na shirika, lakini maji hayatoki)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.