Tetesi yako niya kubuni ili wa2 tuchangie mada yako. Sawa ume2pata. NI HIVI haijawah hata siku moja kw historia ya Tz WAZIRI MKUU KUJULIKANA KABLA YA MUDA WA KUTANGAZWA NA RAIS, INAKUWA NI SIRI YA RAIS MWENYEWE!!? Mpaka hapo Sita hawezi hiyo nafasi na Pinda itakuwaje mpaka sasa asijiuzulu maana...
Unajua kirefu cha CCM ni Chama cha mafisadi, matapeli na kwa upande wa CCJ ni chama cha jambazi 6. Huo ndio ukweli. Aibu gani hiiiíi 6 unafanana na jina lako 6 sita?
ndugu yangu wewe ni mtanzania tena m1 wa waathirika wa umeme. Huoni sababu ya kuuhitaji umeme? Usiangalie itikadi dai haki yako ya msingi? Maandamano ni njia ya pili baada kwnza ya mijadala na maswali kushindikana! Kwani wewe unajua faida ya hata huo umeme? Ucwe mpuuzi angalia ghali ya nchi yako...
nimeburika sana pale mambo ya moshi yanakwnda kama madiwani, mbunge hawana shida kabisa yani kupenda kupewa vya bure ndo vinawaumiya ninyi waakina ccm wa muda na baada ya maumivu wanaikumbuka chadema. Mpe pole. Usichague jina au chama bali chagua dira ya kiongozi huyo. Kama hafai mpigieni kura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.