Search results

  1. Ryamalungu

    Namna huduma kwa wateja inavyoweza kukuza brand ya biashara

    Asante sana, Nimejifunza vitu hapa.
  2. Ryamalungu

    Hivi tumeshindwa kuiga Wahindi kwenye kuwandaa Watoto wao waje kujitegemea?

    Wazo zuri sana, kuna qote nilisoma aliitoa raisi wa kenya uhuru kenyata inasema wewe ukifa wanao hawatarithi kazi yako bali watarithi miradi yako
  3. Ryamalungu

    Biashara ya kuhudumia mawakala

    nenda kwa mawakala wakuu watakupa maelekezo vizuri.
  4. Ryamalungu

    INAUZWA Kibanda cha biashara ya uwakala cha kisasa kinauzwa

    Kibanda ni cha kisasa, kina taa nne ndani na mbili nnje, kina feni ya juu, socket, switch kinapatikana Dar es salaam kigamboni ukitaka kuja kuja kukiona unakuja kukiona.. mawasiliano 0715584281
  5. Ryamalungu

    Nataka kuacha Chuo nijiingize katika ujasiriamali kwa mtaji huu

    Unaaoma coz gani!? Kama unataka kuanza ujasiriamali anza ukiwa upo chuo, usiache chuo.
  6. Ryamalungu

    Wanaume anachofanya huyu mwenzenu ni sawa?

    Tabia aliyonayo mchumba wako kabla ya ndoa,.. mkiona itakua ni mara mbili yake usitegemee atabadilika Kama kubadilika atabadilika kuanzia uchumba.
  7. Ryamalungu

    Wanaume tuliooa ni vizuri tukawajua ma-Ex wa wenza wetu. Hawa watu wanatuchapia sana wake zetu

    Usichokijua akikuumizi, bora kitulia tuu na kutokumfatilia, ukimfatilia na ukija kujua kama anachepuka then what next.. Usimfatilie maisha yaendelee
  8. Ryamalungu

    Usijaribu kufanya biashara za ahadi na wabongo utaumia (Promissory Notes)

    Kama hutaki kumpoteza mtu usimkopeshe, watu wakishapata huduma u kitu wanachokitaka wanasahau kulipa deni.. hadi uchukue action ndo anakulipa
  9. Ryamalungu

    Siku hizi undugu ni ‘overrated’

    Ni kweli, bora kuwe na ukweli ndani yake ila wengine waongo na wanaunafiki flani hv
  10. Ryamalungu

    Wenye watoto wadogo...

    Kweli kaka
  11. Ryamalungu

    Mwanamke ni kiumbe asiyeishiwa maajabu

    Matukio yao huyazanii kabisa.
  12. Ryamalungu

    Mwanamke ni kiumbe asiyeishiwa maajabu

    Viumbe wa maajabu. Hahaha
  13. Ryamalungu

    Vitabu vya lugha ya Kiswahili

    Ni vitabu gani vya lugha ya Kiswahili ulivyovisoma vilivyobadilisha namna yako ya kufikiri na kubadili maisha yako kiujumla?
  14. Ryamalungu

    Tupeane Uzoefu: Biashara gani ilikushinda?

    Kwanini Mkuu, changamoto yake ni nini?
Back
Top Bottom