Wala hatuandamani, nikijakuoa hiyo system ni nzuri sana. Maana pesa zikiisha zimesha zikiwepo zipo kila mtu anajua.
Na hata kama haitakuwepo nikijaoa lazima mamaaaa nimkabidhi furushi lote. Nikitaka pesa ya petrol atanipa.
1.Tabia ni tabia tu, haitegemei sana kabila la mtu. Huko wanakosema hakufai unaweza kupata mwenzi safi kabisa
2. Kanisani ulidondoka kwa ugonjwa au mapepo?
3. Mzazi anaweza kupendekeza umuoe nani hasa mtu mwenyewe anapotoka maeneo anayoishi mzazi.
4. Zaidi ya hapo use your sisters. Kama una dada...
Neno umalaya lina maana nyingi,kuna wale wanaofanya mapenzi kwa ajili ya kujipatia kipato na kuna wale ambao yeye si kwa ajili ya pesa bali anapenda kubadili wanaume kila mara hawa nijuavyo mimi ndio huitwa malaya..
Ila kwa sisi wanaume ukiwa hivyo mara nyingi huitwi malaya bali ni...
Kwanza ajaribu kumtafuta mchumba wake amuarifu kuwa ameipokea meseji yake. Unajua simu inaweza kuwa imeibiwa,mwizi ndie katuma hiyo meseji. Pia kuna kukusea namba hapo anasema ukome kuniita mkeo badala ya mchumba huoni tatizo hapo?
Baada ya kukutana iwapo atakiri yeye ndie kaituma basi ni...
1. Mzazi mwenzio ni mzazi mwenzio tu,si vibaya kumshirikisha katika mambo yako.
2. Watu wengine wanakosea sana,mzazi mwenzie anamuona kama adui. Je . ya arusi ya mtoto wenu hamtakaa meza moja?
3. Maugomvi yenu yeye hayajui na hayamhusu.
4. Kama mmetenga kwa muda wa kutosha basi permanent...
Nani kakwambia kuzimu kuna raha??
1.internet kule hakuna hapa unajidai tu
2. Kule hata umeme wa mgao hakuna ni giza kwa kwenda mbele. Ukifika utatamani kurudi na kurudi huku haiwezekani.
FURAHIA MAISHA KWA HICHO KIDOGO MUNGU ALICHOKUPA,KWANI KAWANYIMA WATU WENGI TU.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.