Search results

  1. G

    On Star TV: Ipi Misingi ya Amani Tanzania? Sehemu ya 3

    wazee wa dar jumapil ijayo Yahaya usiwalete kabisa!
  2. G

    mechi ya Azam fc na Mtibwa kurudiwa

    Awali yalikuwa maamuzi ya hovyo kabisa! Kwa maamuz ya jana ni sahihi kwa mantiki kabisa! Vilevile Tenga anachofanya mie sikioni.... Kama makosa yamefanyika ndan ya kamati tena aliyo ichagua yeye hapo ninashaka na uongozi wake kabisa!
  3. G

    ON STAR TV LIVE: Demokrasia Tanzania na Nafasi ya Vyama vya Upinzani

    Utitiri wa vyama vya siasa sio ukombozi kwa watanzania! Mgawanyiko ndani ya CUF ilikuwa fursa nzuri sana kwa watanzania kuwa na upinzani imara, kwa maana chadema wamekuwa nguvu zaidi kwa upande wa bara ilingelikuwa vyema hao walio anzisha ADC wangeungana na CDM mie nadhani hapo tungekuwa na...
  4. G

    Never argue with a woman

    Thats so impressed!
  5. G

    Wabunge kupoteza viti vyao

    Kuna dalili za kutosha kwa wabunge wengi especially ccm kupoteza nafasi zao kama kutakuwa na uchaguzi mdogo tena ama uchaguzi mkuu wa 2015 na hii nikutokana na makosa mengi ambayo ccm imekuwa ikifanya na wabunge wengi wanajua lakin hawataki kubadilika. Kama jimbo la Mtera njia nyeupe as if lipo...
  6. G

    Lusinde ajitetea, asema alipitiwa na jazba; Alaumu siasa za kampeni

    Kaka nakubaliana na wewe kabisa! Hv viredio vingine bwana????
  7. G

    Lusinde ajitetea, asema alipitiwa na jazba; Alaumu siasa za kampeni

    Hana lolote na lile jimbo atapoteza tu!
Back
Top Bottom