Search results

  1. CHIEF MP

    Kurudi nyuma si kushindwa, Ushauri huu unaweza kuwasaidia watawala wetu

    Kiongozi wa malaika mtarajiwa hawezi kukwelewa, labda shetani walau anaweza tubu
  2. CHIEF MP

    Maombi kwa ajili ya Rais wetu mpendwa Dkt John Pombe Magufuli

    Ni mara Mia nikafunge na kumuombea Shetani kuliko huyu jamaa yenu. Imefikia mda naona shetani naona ni mwema kuliko huyu kiongozi
  3. CHIEF MP

    Tuendelee kumuamini Rais Magufuli

    Heri kumwamini shetani kuliko kiongozi mtarajiwa wa malaika...
  4. CHIEF MP

    Tetesi: Ngurumo: Chacha Heche wale watu wasiojulikana wanakufwatilia kwa gari Number hii T494DDU Noah silver

    Kiongozi malaika kwann anaua watu lkn! í ½í¸í ½í¸í ½í¸œ
  5. CHIEF MP

    Wakosoaji wa Serikali wanatumwa?

    Haijawahi tokea nchi ikapata Rais malaika kama huyu. Hahaaa, tuliingizwa chaka. Ni kiongozi dhaifu, mwoga na asiyejiamiji. Hana kabisa maono. Anaongoza kwa mihemko na mabavu tuu. Kaifanya nchi ya kisenge mno
  6. CHIEF MP

    Star Media yatozwa Sh100 milioni kwa kutoza fedha chaneli za bure

    Kwanini sheria hiyo haiwahusu AZAM TV, DSTV na decoders zingine?! Mbona serikali inafanya mambo nusu nusu hivi!
  7. CHIEF MP

    Baada ya kuhojiwa uraia, Askofu Niwemugizi azungumza na Rais Magufuli

    Nchi imegeuka kuwa jehanam hii daaah!
  8. CHIEF MP

    Yule ni Dhahiri alikuwa Dhaifu na Huyu Ni bayana kuwa ni Mwoga.Sasa tutafute Mtu Mwenye Hekima na Busara.

    One of the best free analysis... Umeeleweka vema sana
  9. CHIEF MP

    Mambo muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa kampuni

    Ukiingia kichwa kichwa kweny hzi kampuni unaweza filisiwa walahi daaaah! Hapo kuna haja ya kuwa na mwanasheria na mhasibu, full stop
  10. CHIEF MP

    Jinsi Marekani ilivyotandikwa na Japan bandari ya Pearl

    Yote hii kwasabb ya development of capitalism, imperialism!!!
  11. CHIEF MP

    Tweet hii ya Mheshimiwa huyu wa Arusha inaweza kusababisha mtafaruku

    Hata iweje, hata shetani afe lkn ccm ni chama mbadala wa ibilisi. Ccm ndyo asili ya shetani, kikifa hicho chama ibilisi nae atakufa siku hiyo2!
  12. CHIEF MP

    Tweet hii ya Mheshimiwa huyu wa Arusha inaweza kusababisha mtafaruku

    Hata iweje, hata shetani afe lkn ccm ni chama mbadala wa ibilisi. Ccm ndyo asili ya shetani, kikifa hicho chama ibilisi nae atakufa siku hiyo2!
  13. CHIEF MP

    Afrisa Consulting Limited: Re-Advertising Receptionist Position

    Ni fursa yetu tuu. Subirini yenu badae kidogo lopee
  14. CHIEF MP

    Dkt. Louis Shika aeleza Magumu aliyopitia hadi akatoroka Urusi. Alitekwa na kukatwa Vidole, Tanzania ilimtelekeza...

    The man himself! He's really a Doctor, tena wa medicine na falsafa! Anakwambia urusi ama nje ili uhesabike umesoma lazima upige na sayansi ya kitu ulichosomea... Nimejifunza mengi kwa huyu mzee! Mungu amsaidie kwakweli
  15. CHIEF MP

    Vyombo vya Habari vinamdhulumu Dr. Shika

    God will do something for him! The guy is too humble! Ningekuwa mim ningebana ishu siwapi adi tupeane mkataba wa malipo
  16. CHIEF MP

    Afrisa Consulting Limited: Re-Advertising Receptionist Position

    Emails address sizioni vzuri mkuu! Hebu ziandike kama unaweza kuwa nazo
  17. CHIEF MP

    Serikali, CCM vimebadilika. kwanini wapinzani nao hawabadiliki?

    Umebadilika ww, acheni kujipaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Ccm ikibadilika mjue na shetani kaokoka
  18. CHIEF MP

    Ninatafuta mume

    Kyala akutule fijo
  19. CHIEF MP

    Wanawake: Ukimpenda mwanaume mtongoze

    It seems psychology has to be introduced into our schools curricula. Hapa ni kama tunataka kulazimisha maji yapite ambako siyo mkondo wake! Haiwezekani, so men has to fulfil their duty as usual. Signal ni attracting factors kwa mwanaume kuchukua hatua. This is common in African cultural...
  20. CHIEF MP

    Ni kitu gani cha kijinga usingependa kufanyiwa au kuambiwa wakati ukifanya mapenzi?

    Less participation toka kwa mwenzangu huwa inanipunguza mzuka kabisa. Au nkisikia harufu mbaya toka kwa mwenzangu napoteza ham pia
Back
Top Bottom