Search results

  1. harakat

    Maisha ya Somali ndani ya Tanzania

    Maisha ya Somali ndani ya Tanzania siku chache zilizopita tumeshuhudia matukio ambayo hayaeleweki kwamba ni Tanzania au Somalia ila nikapata majibu kwamba hayo ni maisha ya Somalia na tunaomba Mungu aepushe maisha ya namna ile kule Somalia wala sio huku Tanzania. Ni nini kinatokea hapa...
  2. harakat

    Jipatie nyumba ya million 19.5 Arusha field force

    Kama inavyojieleza hapo jipatie nyumba ya vyumba vitano IPO Arusha ,field force . Kiwanja chake ni 20 kwa 20 unaweza pitia Ngusero au Field force . Serious buyer PM
  3. harakat

    Dereva wetu safari bado, mbona umepunguza speed?

    Ni asubuhi nyingine na mapema nimeamka natafakari mustakabali Wa Tanzania yetu. Wakati Wa kuhakiki watumishi hewa kuna Mkuu Wa Mkoa alipewa taarifa zisizo sahihi Mama Kilango alijikuta anatumbuliwa On the spot. Kwa kweli iliwavutia watanzania kwa kasi ile isiyomithilika wala haikuhitaji...
  4. harakat

    Trekta Massey Fuggerson 275 sokoni

    Serious buyer PM bei M 34 mazungumzo hapo IPO Arusha .
  5. harakat

    Kiwanja chenye msingi Wa Gorofa kinauzwa being ya kutupa

    Kiwanja chenye msingi Wa Gorofa kama inavyoonekana kinauzwa M 30 Kipo Shangarai Arusha . Eneo lina ukubwa Wa 30 kwa 30 kama l inavyoonekana kwenye picha lipo barabarani . pm kwa mawasiliano .
  6. harakat

    Mvua ya mawe yanyesha jijini Arusha

    Muda mfupi baada ya Mbunge Wa Arusha Mjini Mh G Lema kuachiwa mvua ya Mawe imelisafisha jiji la Arusha kama inavyoonekana hapo pichani. Watu walikua wanashangilia kutoka rumande kwa Mbunge huyo aliyekaa ndani takribani miezi minne.
  7. harakat

    Ndoto yangu ya Urais itakapotimia

    Maisha ya binadamu yanahitaji maono , maono ambayo watu wengine huyaita ndoto kuzifikia ndoto hizi huitaji kufanya kazi Kubwa kuzielekea. Naam kutimiza ndoto ni maajaliwa ya mwenyezi Mungu nami ndoto yangu ya kuwa Rais Wa hii Nchi ikitimu nitajitahidi sana kufanya Yale ya msingi kuhakikisha...
  8. harakat

    Collective bargaining kati ya vyama vya wafanyakazi za Serikali

    Rais wa CWT, Makamu wa Rais wa CWT, Katibu Mkuu CWT na Mweka Hazina wa Taifa wa CWT. Ninapenda kuwajulisha kuwa nimepokea barua mbili kwa njia ya baruapepe kutoka Tamisemi. Barua ya Kwanza imetoka kwa Katibu Mkuu wa Tamisemi iliyokiri serikali kupokea hoja saba za CWT...
  9. harakat

    Huwezi pambana na Drug loads na mafisadi ukiwa fisadi

    Huwezi kupqmbana na wauza madawa ha kulevya ukiwa na wewe ni mchafu yaani una madhaifu tena yanayoonekana waziwazi ndio maana hata Mh. Rais alijitahidi sana kuhakikisha anakua na timu ya watu ambayo ni wasafi kwa kiasi kikubwa. Suala la kuwa na mafisadi pia ni la kupigwa vita ndio maana kuna...
  10. harakat

    Wakuu wa Shule wataendelea kutumbuliwa kwa haya matokeo kidato cha pili?

    Matokeo ya kidato cha pili yametoka na inaonekana Shule za private zimeendelea kushika usukani sasa swali ni je Wakuu Wa Shule wataendelea kutumbuliwa ?
  11. harakat

    Vodacom rekebisheni network yenu, M-PESA imegoma toka jana

    Naona M-PESA inasumbua toka Jana watu tunajaribu kununua Umeme ila inakataa nafikiri ni tatizo la network walirekebishe haraka.Hii inaleta usumbufu kwetu Wateja.
  12. harakat

    Hongera Mh Rais kwa hili la TANESCO

    Matatizo mengi ya hii Nchi yanaanzia kwenye kitovu cha ubadhilifu Wa fedha za Taifa hili isivyo halali kupitia shirika la umma TANESCO iwe kwamba kashfa hizo zinadhibitika au la lakini hapo kuna shida Kubwa inayohitaji watu wapya na kwenye weledi Wa kizalendo . Bila hatua hizo kuchukuliwa...
  13. harakat

    Hakuna ajira kwa waalimu Wa arts maana yake ni mini?

    Tumeendeleza mifumo iliyowekwa na wakoloni enzi na enzi hatujafikiria wala kuthubutu kuibadili mifumo hiyo iendane na Sera za Nchi kwa kipindi Fulani. Elimu yetu ninavyoiona inahitaji mabadiliko makubwa mno vinginevyo tutashindwa kuwashawishi vijana wetu waendelee kuwejeza kwenye Elimu na pia...
  14. harakat

    Tuwe makini kwenye nyumba za ibada

    Hilo limetokea jumapili iliyopita nimenukuu kama ilivyo hapo. Ndio tunatakiwa kuwa waangalifu maana ni hatari mno. "Kijana akiiba leo Kanisani St. Albans katika Ibada ya Pili. Dada aliyebiwa anasema alimhisi kwa muda ila alipoangalia na kukuta kaibiwa alishindwa kupiga kelele kwa kuheshimu...
  15. harakat

    Nyumba za mnada kwa bei nafuu

    Kwa mahitaji ya nyumba za being nafuu za mnada katika majiji yafuatayo 1.Arusha 2.Mwanza 3.Dar Es salaam Na maeneo ya karibu tuwasiliane kwa PM
  16. harakat

    Turudi kwa katiba ya Warioba

    Kama tunakuja na vipande vipande vya miswaada kama huu Wa habari ambao unawataka waandishi kuwa na walau Bachelor Degree nafikiri turudi kwenye ile rasimu ya katiba ya warioba . Ilizungumzia hata viwango vya Elimu vya wabunge na mawaziri kwa kipindi hiki ingefaa mno. Unapotaka Dereva awe na...
  17. harakat

    Kero ya Vodacom na SMS za kamata mpunga

    UJUMBE MUHIMU KWA NAMBA 767xxxxxxxx: Tuma neno GO kwenda 15544 SASA na ushiriki kwenye droo ya TZS 100,000,000 LEO! Vodacom KAMATA MPUNGA! Hiyo kitu inakera mno kila baada ya muda naona SMS imeingia unakuta ndio hiyo ya kamata mpunga hawa wabadilishe utaratibu wao hii ni kerooooo au tuhamie...
  18. harakat

    Ucheleweshwaji wa mafao baada ya kustaafu

    Kumekua na usumbufu sana kwenye mifuko ya jamii hasa pale inapotokea mfanyakazi amestaafu anahitaji fedha zake. Utakuta inachukua hata miaka akizungushwa tu bila sababu za msingi. Hili suala ni kero isiyovumilika kuna Mzee mmoja alipata shida sana watoto wamerudishwa nyumbani kutoka vyuoni...
  19. harakat

    Boarding Schools na janga kulawitiana

    Niameandika kichwa cha habari kwa kutumia lugha ngumu maana lugha laini ya ushoga imezoeleka na haichukuliwi kama ni lugha stahiki kuelezea uchafu husika. Watoto wetu tunaowapeleka kwenye hizi Shule za boarding wakiwa bado wadogo Mara nyingi hukosa uangalizi Wa kutosha kutoka kwa Patron au...
  20. harakat

    Simu LG E 440 sokoni

    Simu tajwa hapo used inahitajika 120 Muhitaji njoo PM
Back
Top Bottom