Kwa kweli hii hukumu imewaumbua sana CCM sasa wako peupe, hongera sana Bob Wangwe hongera Fatuma Karume kwa mchango wenu kwa demokrasia Tanzania hakika nyie mtakumbukwa na kuandikwa kwa karamu ya wino wa dhahabu.
Na sisi wateja wasisahau umuhimu wetu kama kuna tatizo lazima tuwaambie, halafu ujue hatutumii mitandao yao bure kila transaction wanakata pesa ndefu tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.