Search results

  1. K

    Kuanguka chooni/bafuni na kufa, kuna uhusiano gani?

    Ni vema siku zote kuwasikiliza wataalam wa afya waliosomea. Sababu za kiasili zipo nyingi.
  2. K

    Magufuli versus Tundu Lissu; yupi unamwamini kwenye sakata la makinikia?

    Kumuamini Tundu Lissu unatakiwa uwe na kumbukumbu fupi sana. Lissu ndo mwaka juzi tu hapa alikiri kuwa alikuwa akiandaa data za uongo dhidi ya ufisadi wa kina Lowassa na Sumaye na kumpa Slaa. Baada ya kuona kuwa kumbe all the noise about ufisadi zilikuwa hila za uongo, Slaa akaamua kuachia ngazi...
  3. K

    Vodacom yashindwa kufikia nusu ya lengo la mauzo ya hisa, kuomba iwauzie wasio watanzania

    Kununua hisa ni risk. Kama hisa zinaaminika zitanunuliwa tu, sababu wanunuaji wengi wa hisa wakubwa ni wale wanaofanya analysis au uangalizi wa kutosha. Hawa wanaonunua kwa kuvutiwa na matangazo huwa ni wachache tu na contribution Yao ianakuwaga ndogo. Telecom industry ilivyo kwa sasa, uwezekano...
  4. K

    Vodacom yashindwa kufikia nusu ya lengo la mauzo ya hisa, kuomba iwauzie wasio watanzania

    Prospectus ya Vodacom inaonesha miaka miwili gawio Kwa kila hisa ni chini ya Sh. 50.00. Bei ya Sh. 850.00 kwa hisa inayopata Sh. 30 hadi 40 Kwa mwaka ni kubwa mno. Rate of return ni ndogo mno. Telecom ni biashara yenye ushindani mkubwa sana na makampuni yalikuwa yanatengeneza faida kubwa kwa...
  5. K

    Je, mmegundua mchezo "strategist" wa CCM na serikali walioucheza?

    Shida kubwa ni kukosekana Kwa demokrasia ndani ya cdm. Chama kinachorejea mfumo wa ndiyo na hapana ni janga Kwa demokrasia.
  6. K

    Yaliyojiri: Mkutano wa Wanahabari na Spika wa Bunge, Job Ndugai

    Vichwa visivyo na uwezo wa kuja na analytical stories hupenda sana matukio.
  7. K

    Anguko la Uchumi: Wawekezaji kutoka China waikimbia Tanzania, wanawekeza nchi jirani

    Wakati thamani ya shilingi iliposhuka kutoka Sh. 1,600 kwa dola hadi Sh. 2,300 kwa dola ndani ya mwezi mmoja; watanzania wakipoteza zaidi ya 30% ya uchumi wao, hakuna mtu aliyekuwa akilalamika kuwa uchumi unayumba. Hawa hawa mnaojifanya waongeaji mlikuwa kimyaa. Leo hii thamani ya shilingi ime...
  8. K

    Rais Magufuli amteua Ndg. Waziri Kindamba kuwa Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL

    Kwa uteuzi huu; hakuna maajabu. Maandishi yako ukutani - Katika mambo yaliyoshangaza sana sana sana, ni uteuzi huu!! Hopefuly wata reverse baada ya muda si mrefu, lakini, Mashirika ya umma kwa Tanzania hakuna hakuna namna .... "No chance" at all!
  9. K

    Tegeta Escrow: TANESCO yashindwa kesi dhidi ya IPTL. Yaamriwa kulipa zaidi ya Sh. Bilioni 320!

    The manner which Zile fedha zilitapanywa baada tu ya kugawiwa kwa huyo mtu anayejiita PAP inathibitisha kuwa ule ulikuwa utapeli uliofanywa na wabongo wenyewe. Kuna watu walikuwa eakisema eti mzungu (Yaani standard chartered) kkatapeliwa. Sasa tujifunze kuwa kutapeliana ni msamiati wa Kibongo...
  10. K

    Mjadala: Uchumi Wetu Unaweza Kuhimili Mabadiliko ya Rais Magufuli?

    Ni vigumu sana kubaki kwenye hoja sababu argument nyingi humu ziko politically motivated. Kauli za jumla jumla za kuanguka kwa uchumi kwa kusoma takwimu chache zinazothibitisha hilo ni tatizo kubwa sasa hivi; kila mtu amekuwa bingwa wa uchumi. Kushuka kwa confidence ya wawekezaji hili nalo vile...
  11. K

    Lazima Lowassa ashitakiwe kwa Ufisadi!!

    Kama hamchezi siasa mnataka ashitakiwe na nani wakati waliomchafua mnawaona? Waliokuwa kila siku wakija na hoja bungeni za kuunda kamati za Bunge ndo waliomchafua; washaurini walete hoja nyingine za kuunda kamati za bunge za kumsafisha!
  12. K

    Lazima Lowassa ashitakiwe kwa Ufisadi!!

    Kuna watu walijenga political career yao kwa kumnanga Lowassa na ufisadi. Leo hii wako juu na wanaimba nyimbo tofauti. Pengine bila kelele zao leo hii Lowasa angekuwa kiongozi wa nchi hii. Hao watu ndo inatakiwa watumie kila linalowezekana kumsafisha. Najua kama ni msamaha walishamuomba. Lakini...
  13. K

    Lowassa: Siwezi mhukumu Kikwete, yeye mwenyewe ajihukumu. Magufuli anafanya vizuri baadhi ya maeneo

    Anawafundisha siasa kina Mbowe, Lissu, et al; ambao siasa zao ni siasa za zomea zomea, tukana, kejeli, kashfu, n.k. Bila shaka hawa watu inatakiwa wajifunze sana kwake EL. Inawezekana kwa sababu nyumba yake ya vioo, hataki kuanzisha ugomvi wa kurushiana mawe; ambalo ni jambo jema kwa siasa...
  14. K

    Ushauri: Vyama vya Upinzani vifutwe, kibaki CCM pekee kama chama dola

    Siasa ni juu ya kupata madaraka. Madaraka huwezi kuyapata kwenye sahani ya fedha sababu kila mtu anayataka. Ili upate madaraka lazima uwashinde wale waliomo kwenye madaraka na uwashinde wengine wengi walioko nje wanaotaka kuingia. Haliwezi kuwa jambo rahisi kama kwenda ufukweni na kuogelea...
  15. K

    Ushauri: Vyama vya Upinzani vifutwe, kibaki CCM pekee kama chama dola

    Wapinzani lazima wainuke juu dhidi ya yote hayo! Madhaifu ya ndani ni makubwa kuliko hayo yanayotoka nje. Kama madhaifu yao ya ndani yangekuwa Kidogo, uwezekano wa wapinzani kusimama dhidi ya hila za walioko madarakani ni dhahiri. Na ikiwa wapinzani hawawezi kuzishinda hila za walioko...
  16. K

    Ushauri: Vyama vya Upinzani vifutwe, kibaki CCM pekee kama chama dola

    Vyama vya upinzani/mbadala lengo lake ni kutwaa dola na kuwaondoa walioko madarakani. Kisichoeleweka vizuri hasa hasa kutokana na mfumo wetu ni utofauti wa Chama tawala na dola (State). Wengi huamini chama tawala ndo dola yenyewe na kwa hili; wote walioko madarakani na wapinzani huona hivyo. Ndo...
  17. K

    Magufuli: Walioanza kulalamika hakuna pesa mifukoni ni wale waliozoea kupata pesa za burebure

    Fedha iliyotoweka kwenye mzunguko ni; Malipo ya posho kwenye vikao lukuki vikifanyikia maofisini kwa watu, Malipo ya posho za safari kwa maelfu ya maofisa mbali mbali wa serikali na taasisi zake waliokuwa wakipishana kila siku kwenda kuhudhuria vikao, makongamano, warsha, na mafunzo. Wengine...
  18. K

    Kwa mujibu wa Standing Orders, DAS ni mtumishi wa Umma

    Hiyo ndiyo katiba inayokuongoza!! "Katiba inaweza kumfanya rais wa Tanzania dikteta" - hiyo kauli hukuwahi kuisikia? Busara za Kiongozi aliyeko madarakani ndo zinahitajika. Hali iko hivyo toka tupate uhuru!!
  19. K

    Kwa mujibu wa Standing Orders, DAS ni mtumishi wa Umma

    Madaraka ya rais wa Jamhuri kwa mujibu wa katiba iliyopo hayana mipaka. Anao uwezo wa kumfanya mtu yeyote ambaye hakuwahi kuwa mtumishi wa umma - kuwa mtumishi wa umma. Kisha akamteua kwenye nafasi yoyote anayoitaka. Angalia kuna precedence kibao tu huko nyuma ambako watu wametokea nje ya kazi...
  20. K

    Kwa mujibu wa Standing Orders, DAS ni mtumishi wa Umma

    Siasa mbali na mimi. Hiyo kanuni inayosema kuwa mtu kabla ya kuteuliwa kuwa DAS ni lazima awe mtumishi wa umma kwanza ndo hujaiweka hapa. Ukiangalia pale penye qualifications ulizoziweka hapo juu hakuna mahali pamesemwa kuwa lazima huyo mtu awe ameshakuwa mtumishi wa umma kwa kipindi kadhaa au...
Back
Top Bottom