Search results

  1. M

    TAFAKURI: Ipo haja CRDB PLC na Dr. Kimei kuchunguzwa kutokana na maneno yao tata?

    Ningekuwa mkuu wa kaya ningemteua Dkt. Kimei kuwa mkurugenzi wa shirika la ndege baada tu ya kununua ndege mpya. Wote tunajua crdb ilipokuwa na ilipo leo hii...nakumbuka taarifa za 2011 crdb ilikuwa miongoni mwa makampuni yaliyoongoza kulipa kodi baada ya TBL na TCC. iliizidi hadi barrick...
  2. M

    Serikali haina pesa za kuendesha shughuli zake na kuwalipa wazabuni

    Kama unakiri kuwa serikali iliyopita ilishindwa maana yake ni kwamba CCM ilishindwa. Kikwete hakuwa mgombea binafsi bali alikuwa chini ya chama cha siasa. magufuri akishindwa ni CCM imeshindwa. haya maneno ya serikali ya magufuri si sahihi hata kidogo ni serikali ya CCM. Kimsingi magufuri...
  3. M

    Rais Mstaafu Kikwete, Wanafunzi 7802 UDOM wana baraka zako, watetee

    Kwani JPM siyo kilaza? mtu una Phd huna uwezo hata wa dk5 za kufoka kizungu!!! ajitoe kwenye mboni ya jicho lake kabla ya kuwatoa wenzie...angekuwa makini angewaacha hawa wamalize ndo afute hii program.
  4. M

    Rais ondoa Expatriate Allowances

    Huyu rais kama atakuwa anakurupuka katika baadhi ya maamuzi tutalia muda mfupi tu...fanya utafiti utajua ni kwanini expts wanalipya zaidi na hata wao wanatofautiana ukizingatia std za taifa husika.
  5. M

    Kasi ya Prof. Muhongo kuondoa umasikini Musoma Vijijini inatisha

    Umenena vema, kazi yake ni kwenda kuisimamia serikali bungeni ili ilete hivyo vitu na siyo yeye kwa pesa yake eti afanye...matokeo yake hivi vitu vinakuwa siyo endelevu na ktk baadhiya majimbo kama bukoba mjini mbunge akishindwa uchaguzi ujao anawanyang'anya vitu vyake.
  6. M

    TRA na thamani ya magari

    Na kuna wakati wanatoza kodi kubwa kuliko hiyo inayoonekana kwenye calculator yao. wizi kila kona
  7. M

    Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru: Kuapishwa kwa Dr. Pombe Magufuli kuwa Rais wa Tanzania

    Ni lini Tanzania itapunguza sikukuu zisizokuwa za lazima na kuongeza muda wa uzalishaji kama wenzetu? leo tumeongeza sikukuu ingine ya kitaifa ya kuwaapisha marais!! je, hili ni sahihi ktk taifa masikini kama hili? naendelea kuwaza kwa sauti nikiona taifa langu likirudi lilikotoka enzi za...
  8. M

    Mtaalamu wa database huyu hapa

    Kwa wale waliotoa contact tutawasiliana...Ahsanteni
  9. M

    Soko la Mahindi na Maharage

    wewe unataka ngapi kwa gunia la debe 6/7?
  10. M

    Mtaalamu wa database huyu hapa

    Wapendwa,Mimi nina kazi kwa wataalamu wa Accountancy/Business database. Nina duka langu la electronics equipment ambalo lipo Arusha lakini mimi nipo Mwanza hivyo kuna vitu vinatumwa na kuuzwa huko huko hivyo Napata shida sana kila baada ya miezi miwili naenda kuhesabu na kutoa ili nijue ni...
  11. M

    Kikao cha CCM, UKAWA chavunjika

    "One mistake one goal" ...it is very trek to all of you!! be more than carefully and don't trust anyone even if he/she is pastor!!
  12. M

    Fursa za biashara U.A.E (Dubai)

    Ahasnte Lucky Sabasaba...naomba kama unajua base ya Revenue ya simu wanayotumia TRA unisaidie maana utakuwa umeokoa muda wangu wa kufuatilia hili jambo kwa TRA. na maanisha wanabase kwenye bei ya kununulia au wanafanyaje na hiyo kodi ni asilimia ngapi?
  13. M

    Fursa za biashara U.A.E (Dubai)

    Kwa wenye uzoefu naomba kufahamu kama ukinunua simu 100pcs na ukazitoa kwenye mabox yake na kuziweka kwenye begi ambalo unasafiri nalo kama mzigo (cargo) na kushuka nao hapo Dar airport kuna kufunuliwa na TRA na kuanza kuombana ushuru? Otherwiz Goodchance jiandae kunitembeza hapo Dubai soon...
  14. M

    Kama waziri wa fedha hili ni msamiati basi rais atafakari upya nafasi yako

    Kwa mujibu wa maelezo yake ni kuwafanya watu wanunue zaidi magari yenye umri usiozidi miaka 8 ili kulinda mazingira na kupunguza ajari....sasa unadhani kwa huo mkakati anapunguza kuingiza magari mazee au anachochea uingizani wa hayo magari? na hayo mapya usiombe watu wakaanza kuingiza yale made...
  15. M

    Kama waziri wa fedha hili ni msamiati basi rais atafakari upya nafasi yako

    Jana waziri wa fedha akiwasilisha Bajeti ya Serikali ya 2014/2015 pamoja na mambo kadhaa yanayoleta utata, alirejea kwenye sintofahamu iliyowasilishwa na Mgimwa katika bajeti ya 2013/2014 na kukataliwa na TRA baada ya kuona haikuwa na tija kiuchumi na hata kimazingira. Haihitaji madarasa saba...
  16. M

    Mwigulu Nchemba unatupeleka wapi? Exchange rate ya dola leo ni tsh.1,685/=

    Ni Tanzania tu ambapo mgeni anaweza kuingia akaishi mwezi mzima akila, kuvaa, kutibiwa na akalala kwa kutumia USD!! hii ni hatari sana. Nakubali kuwa CCM katika awamu hii ya nne hawana vision wala malengo ambayo waziri anatakiwa kuyasimamia. Haiwezekani tumekuwa na mawaziri kama akina Zakia...
  17. M

    Kuporomoka kwa thamani ya shilingi na hatari inayolikabili Taifa...

    Kiukweli toka Mgimwa ameondoka na kukaa Mwigulu mropokaji Bungeni inanikera jamani. Just in a month exchange rate inatoka 1630 hadi 1665!
  18. M

    Malalamiko ya John Mnyika na Kambi ya Upinzani juu ya Sekta ya Nishati na Madini

    CCM na SPIKA nimeiona siasa ya kupambana na majanga ya Wizara ya Nishati na madini ambayo yamekuwa yakitokea kila mwaka....nimeiona list ya Spika iliyoanza kuchangia...ha ha ha ni Majembe ya porojo ya CCM pale mjengoni ili wavuruge kabisa hoja za Mnyika. Ila kiukweli Mhongo anajitahidi...
  19. M

    Kagame ndani ya Congo, sisi kiherehere cha nini?

    Tanzania imegeuka kuwa OAU/AU lakini kiuchumi taabani.....leo nimesikia wanasema eti Nigeria wakiomba pia tunapeleka kuwatoa Boko haramu
  20. M

    Spika Anna Makinda hapa umetupora kupitia wizara ya habari

    Mimi nashawishika kuliona taifa letu kama mtumbwi unaopigwa na mawimbi ya bahari na kila abiria anahangaika kivyake wakati nahodha tayari amechukua boya lake akielea baharini.
Back
Top Bottom