Search results

  1. Aggrey86

    Mrejesho: Nipo njia panda

    Dah!nimesoma hii kitu yako mkuu inaumiza kweli lakini yote ni mapito ndo yanakufanya kuwa imara zaidi..Mwombe sana Mungu ndiye faraja yako kwa sasa na utasahau pole sana
  2. Aggrey86

    Ushauri: Najuta kuingia kwenye mahusiano

    Wewe jifanye ----- sahizi akurudishie pesa yako kwanza maduu wapo wengi tu tengeneza pesaa bwana kwanza hawa viumbe watakuja tu.....ukumbuke kuleta mrejesho....lakini uwe umepata pesa kwanza....
  3. Aggrey86

    JamiiForums ni moja ya sehemu nzuri ya kupima IQ ya watanzania wengi

    Mkuu asante sana ubarikiwe sana nimeshakipata tayari....watu kama ninyi ni muhimu sana kuwafahamu!
  4. Aggrey86

    Ni kwa neema tu

    Dah! yani hapo Mungu alitaka kuwakumbusha tu kwamba bado yupo na nguvu zake ni kubwa!
  5. Aggrey86

    Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

    To lateeeeeeeee.!!!!!!
  6. Aggrey86

    TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

    Apumzike kwa amani........liwe fundisho kwa tuliobaki tujifunze kuwaombea wengine mema tutabarikiwa sana!
  7. Aggrey86

    Lowassa amjibu Kinana huko Pemba!

    Huyu mzee Lowasa binafsi kuna vitu vingi vya kujifunza toka kwake kiukweili....Mwenyezi Mungu amjalie afya njema na kumpigania zaidi.
  8. Aggrey86

    Lowassa azomewa na wanachama wa CHADEMA

    :smokin::smokin::smokin::smokin:...Zimekulewesha hujielewi..huoni aibu..
  9. Aggrey86

    TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    Wakuu poleni na mapuziko wakati huo huo napenda nitoe pole zangu kwa wanafamilia wote wa JF kwa kumpoteza mwana JF mwenzetu ndugu yetu Mohamed Mtoi ni habari mbaya kiukweli si habari nzuri kwa wote wapenda mabadiliko hata kwa wale wasiopenda mabadiliko...baada ya kupata taarifa ya msiba wa huyu...
  10. Aggrey86

    TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    dah! aise hapana sijaamini kiukweli hadi sasa hii si habari nzuri kabisa kuisikia my God Mtoi dah!nimeumia sana kusikia hii habari jamani dah! Eee we Mwenyezi Mungu mpokee mja wako na umpuzishe kwa Amani.Pumzika kwa amani kamanda Mtoi
  11. Aggrey86

    Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Bila shaka inawezekana mda huu ukawa umeshalala au bado una peruzi peruzi huko na huko kwenye mitandao ya kijamii mbali mbali Dr.Slaa tumesikia na kuaminishwa kwamba hapo kesho nikimaainisha badae maana ni siku nyingine sasa mda huu ninavyoandika hapa ni 12:57 usiku... utaenda kuzungumza na...
  12. Aggrey86

    Kweli wa tz wapumbavu maji kmeta 70 gesi km 700

    Hizo huduma zingine wakiwapa wakati wa kampeni ukifika watashindwa cha kuombea kura....
  13. Aggrey86

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Makongoro Nyerere anapanda Jukwaani na kusema Kofia Oyeee....na wewe unajibu Oyeeee,,,,Miwani Oyeeee...unajibu Oyeeeee,,,Kifimbo Oyeee....unajibu/wanajibu oyeeee.....akili kama hizi ndo maana viongozi wa nchii hii wanatuona mazezeta kweli kweli.....Watanzania lazima tujue vitu vingine sio vya...
  14. Aggrey86

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Dah!aisee Roho imeniuma sana kiukweli aisee inasikitisha sana si habari nzuri kuzisikia....
  15. Aggrey86

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    dah!hawa wapinzani ni shidaa....wacha ccm waendelee kwanza...hata kama makubariano mengine hamjaafikiana lakini si kipondi cha kufanya maamuzi kama hayo kiukweli inasikitisha na kuumiza sana....bado upinzani una matatizo makubwa nchii hii....
  16. Aggrey86

    Dk. Milton Makongoro Mahanga atangaza rasmi kujiunga CHADEMA

    Jamaa alichomaanisha chuki juu yake sababu tu kuwa na urafiki na our next President.Mh.Lowasa over.
  17. Aggrey86

    Kwanini Lowassa havai vazi rasmi la CHADEMA maarufu kama gwanda?

    Hahaha!haha!mkuu umeniacha hoi sana kiukweli....hasa hapo kwamba huku hakuna kubembelezana wala kuongea kiupole inabidi achamke sasa na atoe sauti ya kikamanda anavyoongea...Huyo inabidi Lema ampe tuition kwanza...kabla hajaingia mzigoni..
  18. Aggrey86

    Chama Cha Mapinduzi (Zanzibar) wajibu tuhuma alizotoa Lowassa

    kuna nini mkuu tumeshaenda makazini.....embu tujuze kidogo..
Back
Top Bottom