Search results

  1. tozi

    CCM: Dr. Slaa awekwe 'busy'

    Udini upo ccm, mbona DOCTOR SLAA anawaumiza sana vichwa? CHADEMA ni chama cha umma siyo cha kama ccm ambacho ni chama cha wenye pesa
  2. tozi

    Umoja mpya wa Vijana CCM (UMVCCM) ulioasi UVCCM sasa kutikisa nchi, Kuja na 'CCM Halisi'

    CCM kwishine, mipango yenu ni tasa kwa sababu chama kina wanachama wenye sifa zifuatazo; 1. wasiojua kusoma na kuandika. 2. wagonjwa wa kudumu 3. ombaomba 4. wafanyakazi wasio na sifa stahiki ktk maeneo yao ya kazi. Hawa ndo wanachama wenu.
  3. tozi

    Pamoja na siasa chafu na rushwa tutashinda Arumeru Mashariki Lema (mb)

    ccm wanataka kuanza wizi wao LEMA andaa makamanda wa kutosha, ccm hana chao Arumeru ndio maana wamehamua kumtumia Tedwa kama mlopokaji wa ccm
  4. tozi

    Tanzania moja bei ya sukari toka Sh. 1,700 hadi 2,500

    Pamoja na kuwepo kiwanda cha sukari bado sukari bei juu mkoani Kagera kilo moja sh 2500, piakupatikana kwa sukari mkoani humo ni vigumu ambapo watu hulazimika kupanga mstari kwa ajili ya kununua sukari kwenye maduka ya Wahindi.
  5. tozi

    Mh. Juma Nkamia (MB) ni mshari na mtu mwenye dharau

    Uwezo wake wa kuchambua mambo kwa kina ni mdogo sana, pia hiyo ni sifa moja wapo ya wabunge wa ccm wana sifa ya uhusika bapa hawabadiliki kulingana na mazingira.
  6. tozi

    Single mpya ya CHADEMA hii hapa

    Wewe hauna kazi za kufanya nenda kwenu ukalale toa mchango kuhusu maendeleo ya nchi si kuropoka na kuleta ubwanyenye hapa
  7. tozi

    Halima Mdee amjia juu mwenyekiti na kubishana naye: Live Bungeni jioni

    wape sure make ccm wapo kwa ajili ya posho bungeni na kufikilia chipsi kavu za dodoma hotel
  8. tozi

    Mgao wa umeme wa kufa mtu watangazwa, Juni 2011 na kuendelea

    Ni kweli ni muhimu kuandamana kuwakumbusha hawa mafisadi kuwa wamelemaa. Tunataka nchi yetu iwe na sifa inayostahili.
  9. tozi

    Amri kumi za CCM kwa WALIMU

    1. mara zote mfanye mwalimu mwoga kwa serikali na chama. 2. Mlaghai kwa WITO na si kipato. 3. Mfundishe kuwa mpole asidai haki. 4.Mfanye asiajiliwesekta nyingine ili umtumie. 5.Mtumie kwenye chaguzi na sensa ajione bora 7.Msifie kila siku avimbe kichwa 8.Weka viongoziwa chama CWT ili...
  10. tozi

    Wanafunzi UDOM wadaiwa kutengeneza mabomu-Siasa na elimu

    tunaomba jina la mkuu wa wilaya aliyetoa tamko tukamnyonye mavi,warudishwe ccm akimaanisha kuwa watarudi kwa kuonesha kadi au?huyo najua atakuwa Nnape ndiye mkuu wa wilaya mwenye akili matope kuliko wote,na wakifanya vile wajiandae kufunga chuo kizima maana hilo lazima tuliashughulikie...
  11. tozi

    How to use JamiiForums effectively

    hodi hodi wana jf
Back
Top Bottom