Hakika hata na haraka kihivyo. Magufuli alisema kianze July 2023 wao wakasema kinacheleweshwa. Unamlipa MTU Mafao ya Kikokotoo ambayo hakuwahi kupanda cheo wala kuongezwa Mshahara miaka 10.
Asante Maza kwa kumuondoa Profesa Ndalichako. Huyu ni Disaster kwa Wastaafu. Alishikilia na kupitisha Sheria Ya Kikokotoo. Daah mpeleke mtaani akakutane na mazara ya Kikokotoo alichopitisha.
Bado Wachukue pesa ya Michango kwa kuwalipa via Kikokotoo System. Wakiwaacha kwenye Sonono na Madeni. Laana hii itawatafuna Hadi kizazi cha nne. Muda utasema. Usipostaafu kifo kitakupata. Kustaafu ni heshima na Baraka.
Ushuhuda WA kunywa maji/ Mafuta MTU akanya Nyoka, Konokono, panya, nge. Hakika unatisha na kushangaza. Mwingine kanya jiwe na mjuc. Halafu baadaye akapona,akazaa, akapta KAZI, mume, mke, Mtoto n.k. Huniacha mdomo wazi.
Hakuna Sector iliyosaidia Serikali kutoa Afya Kwa Wananchi kama Private hospitals. Huduma zao zilindwe na kuheshimiwa. Hivi mlishawahi kuumwa ukaenda Amana au Temeke au mwananyamala? Huko maybe Wana Huduma nzuri Kwa Martenal Health tuu. Msongamano mkubwa Daktari anakulipua ahudumie Wengine...
Sawa ngoja tukajipange huko Mwananyamala, Temeke, Mabwepande na Palestina hospitals tukisubiri Huduma za X-ray, Usb, echo, ECG, holter monitor, trademill, MRI, ctscan, dialysis, physiotherapy n.k
Mtumishi WA miaka ya 84+ atajipanga Kwa Mishahara UPI na Marupurupu yapi? Wee umeanza kazi 2015 unaanza na Mshahara 1.5m. Sawa na Mshahara WA aliyeko kazini miaka 35. Lazima utaongea Pumba hizi bcoz Kwa Mshahara huu Una uhakika wa Gari, Nyumba na Miradi.
Vijana Kibao wamelazwa JKCI wanasumbuliwa na Cardio, Kisukari na Figo . Wengi wamekufa unaowajua. Usibeze Wazee. Mbona Museven yupo imara. Trump mgombea ajaye 70+. Mama 60+ anatawala na unamsema anaupiga mwingi. Tafuta kuingiza Kipato waache Watumishi wanaotumika according to Sheria na Muongozo...
YAni Una mdiss Mstaafu kama vile Wewe hautastaafu. Usipostaafu utakufa au utafukuzwa kazi. Kustaafu ni Heshima na Baraka siyo mwisho wa Maisha. Jani la Njano haliwezi kucheka Jani kavu.
Ushahidi wa Simu ya House Girl ulikuwaje? Huko Mitandaoni hawakugundua House girl alikuwa anawasiliana na Nani? Hadi kufikia kuambiwa ondoka akapewa 20000 tau?? Au ushahidi huo umetupiliwa mbali??😭😭😭🙆🙆
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.