Search results

  1. magnificent

    Tetesi: kanisa la Anglican Zanzibar limechomwa moto

    wametaka kuchoma jamani, sijadanganya kama mnavyodhani. huyu amethibitisha.
  2. magnificent

    Tetesi: kanisa la Anglican Zanzibar limechomwa moto

    kuna mtu amenipa taarifa kuwa kanisa la moja Anglican huko Unguja limechomwa mchana huu. Anayeweza kupata maelezo zaidi atujulishe.
  3. magnificent

    Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

    wanaimba laila, lailala, mohamad ana suluah
  4. magnificent

    Mchungaji Gwajima na tabiri zake: 'Tanzania Mpya' inakuja

    majeshi, majeshi,......, yakipiga majeshi....., yakiuwa majeshi......
  5. magnificent

    Inawezekana kweli Kikwete ni chaguo la Mungu

    Mwigamba: Namshukuru Mungu kutuletea Rais Kikwete NAJUA msomaji unajiuliza maswali mengi ndani ya sekunde chache za kusoma kichwa cha habari cha makala yangu ya leo. Mojawapo ya swali muhimu unalojiuliza ni kama hii kweli ni Kalamu ya Mwigamba ndiyo inamshukuru Mungu kwa kutupatia Kikwete...
  6. magnificent

    Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

    Ndallo mambo vp, mkuu! avatar yako inafanana na sura ya dr mmoja mtaalamu wa philosophy pale udsm. basi nikuonaga duh, namkumbuka.
  7. magnificent

    Waraka wa Pili wa Mbunge kwa Wananchi wa Jimbo la Ubungo na watanzania

    Hongera mh mnyika, kweli sikupoteza kura yangu. Mungu akusaidie kutimiza wajibu wako kikamilifu.
  8. magnificent

    Rais wa Sudan Kusini Atembelea Israel

    Ahhhhh, ahhh! unafikiri ni kwanin waarabu wameshindwa kuindoa Israel kwenye Ramani km wanavyoota kila siku? Mungu (Yehovah) yuko pamoja na Israel, ukubali au ukatae huo ndio ukweli. mwenye akili atakubali, mpumbafu atakataa.
  9. magnificent

    Dr. Slaa Msikivu, Mfano wa kuigwa

    Kinachokusumbua ni udini tu,. ukweli mmepungukiwa sana katika kufikiri. bahati mbaya hauwezi kushaurika kwa njia yoyote. kwa sababu unafikilia sunna tu
  10. magnificent

    Dr. Slaa Msikivu, Mfano wa kuigwa

    Islamic fundamentalism km hii duh, hatari sana. nadhani ww ni mmoja wa member wa kikundi cha al shabab hapa bongo.
  11. magnificent

    Dr. Mwakyembe: Sitolipiza kisasi

    Imeandikwa, Mungu hawezi kujaribiwa na uovu. kamwe usije ukamshauri mtu kutenda dhambi kwa makusudi sababu tu atatubu. " Mungu si mwanadamu" kumbuka hilo.
  12. magnificent

    Picha: Viongozi wa CUF watinga Ikulu leo!

    Mtatilo nae ana "sigida " sikuhizi, vp jamani huyu mtu nae anaswali siku hizi? au kanuni yakuwa CUF ni lazima u-Silim!
  13. magnificent

    Dr Slaa Kutoonekana kwenye mazungumzo ya CDM na Rais Je ni kuepuka utabiri wa Marehemu Sheikh Yahya

    Acha ushirikina ndugu. hautakusaidia kitu. huyo sheikh amekufa pamoja na uchawi wake, kumbe we bado unamkumbuka? inawezekana ulikuwa mteja wake wewe. ushirikina hautakiwi hapa, hatutaki utabili wa kishetani, wala majini ya sheikh marehem yahaya hapa..
  14. magnificent

    Huruma ya CC ndiyo pona ya Chiligati na Nape

    Mkuu, Nape amesomea uchungaji kweli? nipe habari zaid mkuu.
  15. magnificent

    Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

    mh.gambalimevulika kweli?mbona chenge alisema limeishia kiunoni
  16. magnificent

    Zitto ahamishiwa Muhimbili hospital kwa matibabu zaidi

    Get well soon, kamanda. utapona tu, we r praying 4u.
  17. magnificent

    Propaganda za uongo: Elimu bure, CHADEMA ikishinda

    Topical hajui lolote zaidi ya uongo unaoenezwa na mihadhara ya wahuni pale manzese na magomeni kuwa "CHADEMA ni mfumo Kristo"
  18. magnificent

    Update ya hali ya Mwakyembe

    YEGO! lukansola, wakondya go!
  19. magnificent

    Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    We kichaa tu, hata km inasikika nchi nzima, haisaidii kitu. niwapuuzi tu ndio wanaoweza kuisikiliza redio hii. Halafu, mmeshashindwa mnatapatapa tu.
Back
Top Bottom