Search results

  1. eyetyna

    Kufungwa Gele na Kufundishwa

    Ndio, karibu.
  2. eyetyna

    Kufungwa Gele na Kufundishwa

    Kwa ufungaji viremba (GELE) design tofauti tofauti vya kwenye sherehe, karibuni sana. Pia tunafundisha kufunga Gele na kufanya make up. Kufungwa Gele:25,000 Kufundishwa kufunga Gele kwa siku 2:200,000 Makeup simple kupakwa:30,000 Kufundishwa makeup kwa siku 5:200,000 Makeup kwa Maid's:50,000...
  3. eyetyna

    Ufungaji viremba (Gele)

    Kwa ufungaji viremba almaarufu kama Gele, Karibuni sana kwa anayetaka kujifunza, natoa mafunzo hayo, na anayetaka kufungwa popote ndani ya Dar nitakufuata kukufunga. Kufunga Gele Kitaambaa chako:25,000 Kufanyiwa make up Simple:30,000 Make up ya bibi harusi:160,000 Make up kwa kila Maid's...
  4. eyetyna

    Jinsi ya kutunza Ngozi yenye mafuta

    Ladies and Gentelmen, Leo tuangazie jinsi ambavyo tunaweza tukatunza Ngozi yenye mafuta hasa usoni. Nakumbuka kuna kipindi nilikuwa naitwa Kitumbua,hii nikutokana na uso wangu kuwa na mafuta sana, inafikia kipindi hata nikawa nakata tamaa kupaka hata poda. Ilikuwa kila baada ya dk chache...
  5. eyetyna

    Duka la vitu kutoka nje

    Habari wana JF, Kheri ya mwaka mpya wana jukwaa pendwa lenye maendeleo kwa kila anayepita hapa. Mwaka huu nimedhamiria kufungua duka/fremu la vitu vya kila aina kwa jinsi zote( ke/me), lakini pia vitu vingi vitakuw dukani kwa order za wateja na vingine vitabaki dukani. Tatizo linakuja pale...
  6. eyetyna

    Jifunze kupika dengu

    RECIPE SAFI SANA YA DENGU HIZI ZA AINA YAKE MAHITAJI 240gram Pigeon Peas ( Dengu) 1/4 tsp Turmeric (manjano) 720 gram maji masafi 3 kijiko kikubwa cha chakula samli (Ghee) 1 kitunguu kikubwa chop chop 1 nyanya ya kuiva kubwa chop chop 1 kijikon kimoja cha chai binzali nyembamba 2 pili pli kavu...
  7. eyetyna

    Nadia for Sale

    Karibu sana MKuu, Hapana, ila njoo PM tuzungumze unaweza kuongeza .
  8. eyetyna

    Nadia for Sale

    Karibuni sana, tufanye biashara!
  9. eyetyna

    Nadia for Sale

    Wakuu nauza gari hiyo, Mataili yote mapya yana siku 4 Shockup zote zimebadilishwa. Betri mpya Boll joint zomebadilishwa . Bushi safi kabisa AC inafanya kazi. Matengenezo: Pale mbele kwenye plate number ya gari pamebonjea kidogo . Cc 1990 Mwaka 1999 Number: AZM Engine: S3 Kilometers: 107163...
  10. eyetyna

    Yanayojiri Bungeni 19 Novemba, 2015: Rais Magufuli amteua Majaliwa K. Majaliwa kuwa Waziri Mkuu

    Muda mfupi tu uliopita Spika wa bunge kwa mamlaka aliyopewa na Bunge na Rais wa Jamhuri wa Muungano, amemtangaza Ndugu Kassimu Majaliwa kuwa ni Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya tano ya Dk.John Pombe Magufuli. Je, ulikuwa unalijua hili? Tupate historia fupi ya Waziri Mkuu mteule:- - Majaliwa...
  11. eyetyna

    Pendeza Ke/Me, mzigo mpya kutoka UK!

    Tuwasiliane Mkuu. Kuna number za simu hapo juu tunawez kuwasiliana au ukani PM. Karibu sana.
  12. eyetyna

    Pendeza Ke/Me, mzigo mpya kutoka UK!

    CADET Hizo safi kabisa kutoka UK, MATERIAL: COTTON SIZE: 32-36 PRICE: 75,000 SHATI safi kabisa kutoka UK MATERIAL: COTTON SIZE: L-XXL PRICE: 40,000 POCHI Hizo kazi kwenu wakina mama na kina dada MATERIAL: NGOZI PRICE: 65,000 VISWETA Hivyo safi kabisa, unaweza kuvaa popote pale na...
  13. eyetyna

    Nahitaji mashamba kwa ajili ya kilimo cha Matikiti maji

    fisi Shilingi ngapi mkuu? na je vyanzo vya maji vipo?
  14. eyetyna

    Nahitaji mashamba kwa ajili ya kilimo cha Matikiti maji

    Wakuu hamjambo, poleni na shughuli za kujenga taifa. Kama kichwa cha habari kinavyosema, nahitaji mashamba kwa ajili ya kilimo cha Matikiti maji, Shamba ambalo pia litaendana na zao lenyewe, mazingira na hali ya hewa. Nataka nianze kilimo hichi as soon as possible. Kwa yoyote aliye na...
  15. eyetyna

    Mzigo mpya huoo, This time ni vikoti, na magauni!

    Napokea order, baada ya wiki mbili mzigo utakuwa tayari umeshafika Dar. 1-75,000 2-70,000 (Kikoti ,vipo rangi nyeusi na nyeupe) 3-50,000 Kwa mawasiliano zaidi, 0752661896. Karibuni sana.
  16. eyetyna

    Wedge hizo!

    Habari wakuu, Napokea oda sasa,jumla na reja reja. Jumla ni sh 50,000/= Unaletewa ulipo. Mawasiliano, Whats up Number 0718 112 102 Karibuni sana.
  17. eyetyna

    Unisex watch( women / Men )

    Habari wakuu, Napokea oda ya mzigo wa saa kwa wale wanaohitaji, jumla na rejareja. Mzigo unatokea Shenzhen- China. Baada tu ya kutoa oda yako, utaletewa mzigo mpaka ulipo free of charge. Saa hizi ni imara sana, kuanzia mikanda mpaka betri. Jumla kuanzia piece 10 ni 15,000/- Rejareja ni sh...
  18. eyetyna

    MkikiMkiki: Uliza swali mdahalo wa vyama vya siasa kuhusu Rushwa na Maadili

    Maswali: Je ni kweli kwamba Rushwa imeshindikana kuizuia au kuikomesha kabisa kuanzia chini mpaka imefikia mahali hata vyombo vya dola wanashindwa kuidhibiti? Inawezekana wanasiasa hasa chama tawala ndio wanaoikuza Rushwa, na hivyo kushamiri kwa kiasi kikubwa kwetu?
  19. eyetyna

    MKIKIMKIKI - Mdahalo wa vyama vya Siasa vikijadili masuala ya Elimu na Afya

    Swala la Afya na Elimu ni swala nyeti sana hasa kwa nchi zinazoendelea kama Tanzania. Je miaka yote hii 53, ya uhuru tunaishia kutamani tu tufikie level fulani, ni sahihi? Nini hasa kinakwamisha tushindwe kufikia malengo? Je haya yanayohaidiwa sasa yana tofauti gani na yakioahidiwa miaka 53...
Back
Top Bottom