Search results

  1. Tall Kahigi

    Hapana, VodaCom wamefanya makosa na yatawagharimu kibiashara. Mfanyakazi wao ana maslahi nje!

    Kirahisi rahisi maana yake nini labda! Kumbuka hawa wanaendesha biashara kulingana na taratibu na kanuni kwa mujibu wa sheria za nchi. Ndio maana ukiibiwa simu lazima uanzie polisi kama unataka taarifa za simu yako. Ukijipeleka hutapata msaada
  2. Tall Kahigi

    Hapana, VodaCom wamefanya makosa na yatawagharimu kibiashara. Mfanyakazi wao ana maslahi nje!

    Kukulindia SIRI hakukufanyi kua Mhalifu, kumbuka nao wanaendesha biashara kulingana na Sheria na kanuni za Nchi. Inapobidi na kwa kufuata kanuni na taratibu ushirikiano watatoa kwa amri kama inavyotakikana.
  3. Tall Kahigi

    Hapana, VodaCom wamefanya makosa na yatawagharimu kibiashara. Mfanyakazi wao ana maslahi nje!

    Wala haziko mashakani, tumia kwa uhuru na staha hutaingia matatizoni.
  4. Tall Kahigi

    Polisi wavamia Tallying Center ya UKAWA na kuizima

    Unajua Inqendeshwa na nani!??
  5. Tall Kahigi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ngumu kumeza ila ntakuunga Mguu
  6. Tall Kahigi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mzembe gani anachezea zaidi ya 50K kwa wiki!? Mzembe gani anachangia 18% katika pato la apatacho... Ndugu kama huna Fani/Burudani ingine bora ukae kimya... Ushaambiwa huku watu wame invest. Unadhani kampuni zote za betting hz wanapata hasara!? Kacheze hata Mdako basi ujenge afya...
  7. Tall Kahigi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mdau pamoja... Tuendelee ku komaa na head, one day YES .
  8. Tall Kahigi

    Magufuli na cheap Politics, usanii tu

    Injinia alikua anatest Ngazi ka ziko sawasawa... Washauri wake hawaoni haja ya kumuandaa... Kwa upinzani upi!? Watafanya vilevile ka miaka iliyopita
  9. Tall Kahigi

    Kutoka Uwanja wa Namfua-Singida: Lazaro Nyalandu atangaza nia ya Kugombea Urais wa Tanzania

    Anatia Mashaka enhee !!! Hakuna alilofanya singida Miaka yote hiyo?
  10. Tall Kahigi

    Mnyonge mnyongeni, Waziri Nyalandu Alikuwa Sawa na Sababu ya Tembo Kuongezeka Mbuga Zetu!!

    aisee si mchezo... sasa wamerudi karibu na majangiri wawe kisusio :becky:...
  11. Tall Kahigi

    Mnyonge mnyongeni, Waziri Nyalandu Alikuwa Sawa na Sababu ya Tembo Kuongezeka Mbuga Zetu!!

    wangapi wamethubutu hata kujaribu kufanya hicho kidogo ku justfy fact inayosimama!!! Tunaambiwa tembo wameuliwa sjui wamebaki 100, sawa akasema hebu tuwahesabu.. akapata idadi ya 300. Taarifa inatoka wako 300 then tunaanza choko choko sjui wamezaliana au wamehamia toka huko mafichoni au wameota...
  12. Tall Kahigi

    Mnyonge mnyongeni, Waziri Nyalandu Alikuwa Sawa na Sababu ya Tembo Kuongezeka Mbuga Zetu!!

    wana Ajenda za siri as kuelewa sio Jadi ya baadhi yetu.
  13. Tall Kahigi

    Waziri G. Kabaka atembelea Vodacom ghafla

    Ngoja wamalize shift za kudaka simu utajulishwa...
  14. Tall Kahigi

    Kilango amwambia waziri kasema uongo!

    Haya na mvomero nayo wana bajeti ya 10/11 badala ya 11/12 yaanii full ubabaishaji
  15. Tall Kahigi

    Cheka unenepe:

    duuhh sijapata skia hiii.............
Back
Top Bottom