Search results

  1. M

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Itakuwa vyema na ya kupendeza zaidi, majukumu yaambatanayo na ushindi huo yatakaposherehekewa kwa nguvu zote kama sasa. Implementation of the manifesto is the ultimate triumph...!
  2. M

    Is just an accident..!

    au ni zile za kufua..!?:doh: msela alipoanika, 'jembe' akagongea, kama fegi vile..!
  3. M

    Hamad Rashid ni mtaji maalum

    kwa mtazamo wangu Hamad ni mtendaji kazi mzuri, na mwelekeo wa uchangiaji wake mada bungeni unaegemia utaifa zaidi ya uchama na 'ushabiki'. Kutaka madaraka si dhambi, na ili kuleta mabadiliko wakati mwingine kuwa na madaraka ni muhimu. Mgogoro uliopo ni kiashiria cha demokrasia 'legevu' ndani ya...
  4. M

    Lowassa AKIRI alitajwa kwenye NEC ya Aprili kujivua gamba!

    kwa nini itumike nguvu nyingi hivyo ili kujua nini ilikuwa 'meeting agenda' ya NEC.? Inatia shaka kwamba these units are only friendly to public media when they have interests to pursue, ila inapokuja kuonekana kuna uwezekano wa 'kuvuana nguo' the media becomes a potential threat.! Wanahabari...
  5. M

    Maumbile na tabia ya mtu

    na wenye pua na videvu bonye je..!?
  6. M

    NSSF set to generate 300MW from sisal

    it sounds nice. Ila hilo la kuwepo mkonge wa kutosha ni la kutazamwa kwa jicho la pili. Je uwepo huo ni matokeo ya kukosekana kwa soko, hivyo kuna watu wameamua kujitengenezea soko kupitia umeme wa sisal.!? Ni hisia tu
  7. M

    Nafasi za kazi TIC

    ghosh..!
  8. M

    "Bambo" apata ajali mbaya

    hizo taarifa za kusikitisha, pole mwanakwetu. La Bambo limevuma kutokana na umaarufu wake. Japo nahisi, kwa siku hiyo inawezekana ajali zilikuwa kadhaa, na majeraha makubwa zaidi. Ni tatizo kubwa zaidi ya inavyodhaniwa. Kukosekana kwa mkakati maalumu kulidhibiti, je, ni kwa sababu tumejenga...
Back
Top Bottom